Nani zaidi, musabe schools au wizara ya elimu?

MUSABE ni kitu gani.hata haipo kwenye ramani .Ni primary au secondary? hizi shule za milipuko hizi huwa zinazaliwaga na kufa chap.Wawaulize wenzao akina St.Mathew.St.marys etc.mimi huwaga siiamini shule ya private.labda kama hiyo shule ni ya katoliki.otherwise.bado kitambo kidogo sana sulemani jafo na ndalichako watazirudishia heshima zile shule za umma.

Sema pia hao wenye shule wengine ni watumishi wa wizara .
 
Huko Mwanza jamaa wanajiona wako sayari tofauti na Dunia,wana mbwembwe za jirani na Uganda. Na kweli uko sawa,wakatoliki hata hawana shobo,wao wako kiacademic zaidi,jamaa hawa wako kuwa wa kwanza,mtoto wa darasa la saba. anafundishwa hadi sylubaa ya form one
 
Kuna moja huku njia ya bagamoyo inaitwa Must lead yani kuanzia mwenye shule na Mwalim mkuu wake ndo wanamaamuzi hawakushirikisha wazazi wala nini Ada kwa wanafunz wa darasa la saba kila mwezi mzaz anatakiwa atoe laki 570000. mara miez mitatu million 1710000. Hili swala kwa kweli ni gumu sana
 
Hawa dawa yao namba muhula ujao aimarishe shule za serikali ziweze ushindani ili hawa jamaa shule zao wasome watoto wao. Serikali inao uwezo kabisa wa luboresha shule zake zikaweza ushindani halafu sasa tuwaone na dharau zao.
 
Management ya hii shule wanajiona wa maana sana kupenda sifa wakati walishindwa kulipa mishahara walimu wao kipindi cha corona kuanzia mwezi March today walimu na wafanyakazi wengine hawakulipwa salary naona sasa anakuja kufidia humo kwenye ada ili awape wape posho na maji ya kunywa,lakini ngoja tuone wizara na wao nani anatunisha misuli
Ni kweli hawakulipwa mie nina jamaa yangu alikua pale hawakulipwa yaani walipata shida sana
 
Back
Top Bottom