NANI ZAIDI: Nilikuwa na Mashaka na Simba kumbe ni kweli wanatumia fumbate

shauri ya kucheza mpira mbovu kwa kipindi kirefu hadi washabiki wenu wamesusa kuja kwa uwingi uwanjani hadi hii leo.

.

Hanga msimu huu ameingoza kwenye:-

1. Pasi nyingi
2. Magoli mengi
3. Mpira safi wenye kuvutia
4. Magoli machache ya kufungwa
5. Most penalties convertion rate
6. Fewer yellow card
7. Fewer red card
8. Most possession
9. Faulo chache kuliko klabu yeyote
10. Idadi ya mahudhurio ya mashabiki Uwanjani
 
Mnajaza kwenye DERBY pekee na sio kwenye game nyingine kwa sababu Mashabiki wengi wa SIMBA SC wanaenda kuitazama YANGA SC.
 
Principle za kuangalia mpira zinajulikana ww mama,hakuna MTU anayekaa kuangalia mpira ambao hauvutii hata kidogo

Nyie wenyewe mmekubali mnakuja kuangalia burudani ya mpira kutoka Young Africans

We mama karibu na kesho pia kuangalia show za kibingwa pale Taifa,wanaume wanatangazwa kuwa mabingwa wa kandanda nchini
 
Bado narudia tena.

Mechi moja sio kipimo cha nani anafiatiliwa na mashabiki wengi uwanjani.


View attachment 2260450

[emoji23]
Nawewe umeingia kwenye mkumbo wa kupost picha ya siku ya wanachi kama alivofanya muhamasishaji wenu Manara na Senzo, me nimekuwekea picha ya derby ya trh 30 April, Yani baada ya kuzunguka kote kule Kwa Manara na Bumbuli ila mashabiki ata robo tu hamkwenda, acheni ubahili

Hiyo picha ilikuwa siku ya wananchi ila baada ya Media tour kubuma, Kwa aibu wakajifanya kuipost siku ya derby eti mashabiki wa Yanga mlikuwa wengi, Hebu usiwe kama Manara mkuu, leta picha ya derby ambayo mashabiki wa Yanga walikuwa wengi kuliko Simba then tuendelee na mada
 
Simba kukusanya milioni 60 tu kwa ujenzi wa uwanja inatokana na uzembe wa viongozi tu.

Huwezi kukusanya pesa na hautoi updates..watu wengi wanahamasika kutoa baada ya kuona progress ya michango yao.
 
Inaonekana wewe bado ni mchanga sana kwenye soka.

Yanga SC ndio klabu iliyoshiriki mara nyingi zaidi kwenye continental tournaments kuliko timu yeyote hapa Tanzania.

Najua ubongo wako umejaa maji ya Madafu nenda Google ikakusaidie.
Mwaka gani sina haja ya Google taja mwaka tuone
 
Mimi nilisha wapuuza hawa tangu kale kajamaa kalikua ka waziri ka utalii katoe zile data za watu bilioni ngapi sijui waliangalia game za caf za simba. Nikamkumbuka Rage kwamba shabiki yeyote wa simba ni mbumbumbu
Masikini uwa mna vituko[emoji28][emoji28] unakuta una shida mpaka unanuka!! Halafu unamwita Waziri Ndumbaro eti "kajamaa"[emoji23][emoji23] tafuta pesa wewe lofa!unakuta elimu ya maana huna,pesa huna,kazi ya maana huna,unashinda jamii forums ukitukana waliokuzidi uwezo.
 
Mi Mama tena
Kweli naona furaha yako imezidi kipimo.
Nakusamehe kwa ajiri hiyo
 
Hawa jamaa ni kama wamewehuka na ubingwa wa Yanga msimu huu.
Wamebaki wanamwaga matusi ovyo tu ukitaka kujadiliana nao.

Ni vema kuto wajibu waongee wao tu.
 
Rangi za jezi uwanjani ni kiashiria tosha kuwa wakina nani wanashangilia nani.

Hakuna shabiki wa SIMBA SC anaweza tinga uzi wa NJANO na kuenda kutazama mechi ya YANGA SC.

[emoji23][emoji23]
Mechi za Simba na Yanga robo tatu ya uwanja huwa ni nyekundu.

Kama unabisha nikuletee picha?
 
Uzi wa hovyo sana
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
By default Bingwa wa Nchi ndio muwakilishi katika michuano ya Bara.

Nani ni bingwa mara nyingi ya ligi kuu?
Mwaka gani utopox wameshiriki caf champions league gruop stage wote tunajua anatokaga preminary round au second mm nataka unitajie mwaka ambao Utopox wameshiriki caf champions league group stages
 
Mwaka gani utopox wameshiriki caf champions league gruop stage wote tunajua anatokaga preminary round au second mm nataka unitajie mwaka ambao Utopox wameshiriki caf champions league group stages

Tumia akili yako kabla haujazikwa.
 
Tumia akili yako kabla haujazikwa.
Mwaka gani utopox wameshiriki caf champions ikipita miaka zaidi ya 20 ujue ww ni timu ndogo maana timu zote ndogo hazina uwezo wa kushiriki ligi ya wakubwa
Nakuuliza tena mwaka gani uto wameshiriki caf champions league?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…