Unadhani ni kipi hasa KINAVUTIA kutoka kwa WANANCHI (YANGA SC) hata kufanya mashabiki wa Simba SC wawe tayari kutazama mechi za Yanga SC na sio za SIMBA SC...?
[emoji23][emoji23]
Japokuwa Simba Kwa miaka kadhaa hapati matokeo mazuri kwenye game za derby ila mashabiki wa Simba huiamini team Yao na kwenda kujaza uwanja kwenye derby zote haijarishi Simba ndio mwenyeji au Yanga
Mwaka Jana Hadi mwaka huu, IPO hivo na ata Hilo gape unaloongelea wewe kwenye gate collection ni Simba ndio waliinufaisha Yanga, rejea msimu huu derby ya mwisho, Manara na Bumbuli wamezunguka media zote kufanya promotion Ila Simba wapo kimyaaaa
Bumbuli akaanza kulalamika kuwa Simba haifanyi promotion Kwa sababu wanahofia Yanga ataingiza hela nyingi, ila mwisho wa siku wewe mwenyewe shahidi kuwa Simba walikuwa robo Tatu ya uwanja wa mkapa pamoja na kutokupigwa promotion ya derby
Kwahiyo muitikio wa mashabiki wa Simba ni mkubwa sana kushinda mashabiki wa Yanga na hilo mnalijua ila waga mnaluluka tu, kwahiyo sjabu ata msimu huu mkiongoza gate collection Kwa sababu ya mashabiki wa Simba, na tofauti ya attendence ilikuwa ni mashabiki 3000, hiyo idadi imeongezwa na Simba
Nguvu ya mashabiki wa Simba haijaanza Leo, tangu enzi za mtani jembe, pamoja na kipindi kile Yanga ndio ilikuwa inafanya vizuri ila uwanja wa mkapa ulikuwa unajaa Wana Simba, kwahiyo hatushangai nyie kuongoza mapato ila ata nyie ukweli mnaujua ila mnajificha kwenye kimvuli cha mapato
Hamtokaa mjaze uwanja game zenu wenyewe tofauti na week ya wanachi maana nyie ubahili ndio jadi yenu, ili mjaze uwanja inabidi Eng Hersi awaingize bure kama alivofanyaga Manji game ya mazembe, ila tofauti na hapo mtakuwa mnaonekana kama mpo ugenini kama msimu uliopita
Kwa kushirikiana Afisa muhamasishaji na Afisa habari kufanya promotion Kwa week nzima lakini hiki ndio kilichoenda kutokea Kwa mkapa, endeleeni kujitekenya na kucheka wenyewe, ila kwenye issue ya mashabiki kujitoa nyie bado sana na ubaya wengi wenu ni wazee na hamna hela