NANI ZAIDI: Nilikuwa na Mashaka na Simba kumbe ni kweli wanatumia fumbate

NANI ZAIDI: Nilikuwa na Mashaka na Simba kumbe ni kweli wanatumia fumbate

Hapana ukubwa wao unaonekana katika makombe wanavyochukuwa shida inakuja kama makombe ya club bingwa huchukui na hata ushiriki katika group stages yoyote na umepitwa kwa followers automatically ww ni timu ndogo kama ilivyokuwa Yanga mbele ya Simba
Kweli wewe ni Mbumbumbu,Simba na Yanga nani anaoongoza kwa Makombe na pia huko CAF Simba kamzidi nini Yanga?
 
Hata mechi ya Yanga na Simba ya mwisho uwanja wa Mkapa Mashabiki wa Yanga walikuwa wachache kuliko wale wa Simba.
Muwe mnakubali vitu vingine na sio kujiona ninyi ni bora maeneo yote.

Mngeongoza kwa michango msingeongea haya.
Kwa Africa Simba ni kati ya timu tano bora zinazojaza washabiki wake wengi uwanjani.
Takwimu zipo, hadi CAF wanawaruhusu kuingiza washabiki wengi kwenye mechi zao.
Kocha Ibenge amekiri hili. vipi mlishangae
Ukiona mashabiki wa Simba wanaendelea kucheki games za Yanga kwa wingi ujue match za Yanga zina mvuto,huku Diara,kule Jumaa Shaban Soda ya Bemba,pake Yanick Litombo Bangala mzee wa kazi chafu,pale Aucho na Feisal mbele Mayeleee Mzee wa kutetema. Sasa Simba ina Mugalu na Kibudenga.
 
Mosi, Washabiki wa Simba wanapenda soka ndio maana kila mechi wanakuwa wengi.
Washabiki wa Yanga wanapenda game ya Yanga kuliko game za timu nyingine.
Pili, washabiki wengi wa Yanga uwezo wao wa kutoa kiingilio cha kutazama soka upo chini kidogo.
Ndio maana wengi wanaingia mechi za Yanga tu zingine waningia wachache sana na wengi wanaangali kwenye TV.
 
Hapana ukubwa wao unaonekana katika makombe wanavyochukuwa shida inakuja kama makombe ya club bingwa huchukui na hata ushiriki katika group stages yoyote na umepitwa kwa followers automatically ww ni timu ndogo kama ilivyokuwa Yanga mbele ya Simba

Kushiriki group stages ndio umeona ni mafanikio?

Yaani kuwa msimdikizaji nayo ni sifa?
 
Fedha wamehamisha sawa, kura nazo imekuwaje?

Ukitumia akili utagundua kuwa hakuna ALGORITHM inayoshindwa ku-generate 1,000/= at a particular interval.

Ukizingatia hakuna ukomo wa kuchangia buku buku.
 
Ukitumia akili utagundua kuwa hakuna ALGORITHM inayoshindwa ku-generate 1,000/= at a particular interval.

Ukizingatia hakuna ukomo wa kuchangia buku buku.
Basi tufanye Yanga ndio timu yenye mafanikio na mashabiki wengi.
Nadhani hapo patakuwa sawa.
 
Kumbuka mapato ya mlangoni hayachangiwi na mashabiki wa Yanga pekee.

Huwezi lipa pesa yako uliyo ipata kwa shida kwenda kutazama timu ambayo haina mvuto kwako.

Kama watakuwepo spectators wa aina hiyo basi watakuwa ni wachache SANA.
 
Inapocheza Yanga washabiki wa Simba wengi wanaingia kuona mchezo.
Inapocheza Simba washabiki wa Yanga wanakuwa kidogo sana.

Hivyo get collection ya Yanga inachangiwa sana na washabiki wa Simba kuliko kinyume chake.

Unadhani ni kipi hasa KINAVUTIA kutoka kwa WANANCHI (YANGA SC) hata kufanya mashabiki wa Simba SC wawe tayari kutazama mechi za Yanga SC na sio za SIMBA SC...?

[emoji23][emoji23]
 
Una ushahidi na unachosema ?
Kauli za mkosaji hizo.
Mwambieni GSM na Rostam nao wachangie maana wana pesa kumzidi MO.

GSM na wakina Rostam wako busy na mipango muhimu.

Ndio maana huwezi kuwaona Instagram wala Twitter wakipost.

Wako level nyingine zaidi.

Utoto wa MO kama ule wa Hundi feki hawawezi fanya.

[emoji23]
 
GSM na wakina Rostam wako busy na mipango muhimu.

Ndio maana huwezi kuwaona Instagram wala Twitter wakipost.

Wako level nyingine zaidi.

Utoto wa MO kama ule wa Hundi feki hawawezi fanya.

[emoji23]
Tunawapongeza kwa kufikia hayo mafanikio.
Na sisi Simba tutaiga kutoka kwao
 
Msimu ulio pita YANGA SC iliongoza kwa gate collection.

Ikimaanisha mechi zao zilijaza spectators wengi zaidi kuliko mechi za Simba SC.

Labda mwenzangu unamaanisha mashabiki wa Dar pekee, ila YANGA SC ina mashabiki country-wide.
Una uhakika gani Mashabiki wote walioingia kwenye mechi za Yanga, ni Mashabiki wa Yanga?
 
Spendelei mpira wa kibongo ila yanga huwezi kuwakumbusha Simba kufanya usajili.kwa ajili ya CAF champions leauge huko nikuwakosea heshima Simba brother rekebisha hiyo kauli ndio urudi hap
 
Simba a.k.a Makolo ni mapunguani tu wote.. naona Hilo ndo kombe lao lililobaki
 
Huwezi kwenda kuangalia mpira uwanjani ambao haukuvutii kuutazama hata kidogo

Watu hawaridhishwi na viwango vya timu zao na wanaenda kufatilia mpira mzuri kutoka kwa Yanga

Kwahyo msipoteze muda wenu kupiga ngenga ambazo hazina maana kwenu nendeni mkasajili ili mvutiwe kutazama mechi zenu pale Taifa
 
Unadhani ni kipi hasa KINAVUTIA kutoka kwa WANANCHI (YANGA SC) hata kufanya mashabiki wa Simba SC wawe tayari kutazama mechi za Yanga SC na sio za SIMBA SC...?

[emoji23][emoji23]
Japokuwa Simba Kwa miaka kadhaa hapati matokeo mazuri kwenye game za derby ila mashabiki wa Simba huiamini team Yao na kwenda kujaza uwanja kwenye derby zote haijarishi Simba ndio mwenyeji au Yanga

Mwaka Jana Hadi mwaka huu, IPO hivo na ata Hilo gape unaloongelea wewe kwenye gate collection ni Simba ndio waliinufaisha Yanga, rejea msimu huu derby ya mwisho, Manara na Bumbuli wamezunguka media zote kufanya promotion Ila Simba wapo kimyaaaa

Bumbuli akaanza kulalamika kuwa Simba haifanyi promotion Kwa sababu wanahofia Yanga ataingiza hela nyingi, ila mwisho wa siku wewe mwenyewe shahidi kuwa Simba walikuwa robo Tatu ya uwanja wa mkapa pamoja na kutokupigwa promotion ya derby

Kwahiyo muitikio wa mashabiki wa Simba ni mkubwa sana kushinda mashabiki wa Yanga na hilo mnalijua ila waga mnaluluka tu, kwahiyo sjabu ata msimu huu mkiongoza gate collection Kwa sababu ya mashabiki wa Simba, na tofauti ya attendence ilikuwa ni mashabiki 3000, hiyo idadi imeongezwa na Simba

Nguvu ya mashabiki wa Simba haijaanza Leo, tangu enzi za mtani jembe, pamoja na kipindi kile Yanga ndio ilikuwa inafanya vizuri ila uwanja wa mkapa ulikuwa unajaa Wana Simba, kwahiyo hatushangai nyie kuongoza mapato ila ata nyie ukweli mnaujua ila mnajificha kwenye kimvuli cha mapato

Hamtokaa mjaze uwanja game zenu wenyewe tofauti na week ya wanachi maana nyie ubahili ndio jadi yenu, ili mjaze uwanja inabidi Eng Hersi awaingize bure kama alivofanyaga Manji game ya mazembe, ila tofauti na hapo mtakuwa mnaonekana kama mpo ugenini kama msimu uliopita

Kwa kushirikiana Afisa muhamasishaji na Afisa habari kufanya promotion Kwa week nzima lakini hiki ndio kilichoenda kutokea Kwa mkapa, endeleeni kujitekenya na kucheka wenyewe, ila kwenye issue ya mashabiki kujitoa nyie bado sana na ubaya wengi wenu ni wazee na hamna hela
Screenshot_2022-06-14-11-04-53-786_com.instagram.android.jpg
 
Feisaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

What a goal! What a hit

Wonderful Goal! Magic Goal
 
Back
Top Bottom