Nani Zaidi: Perfect Crispin v/s Kennedy the Remedy

Nani Zaidi: Perfect Crispin v/s Kennedy the Remedy

Ilikuwa balaaa ...nilikuwa sikosi the cruzy Aiseee.. daaah kuondoka kwao kuliniuma mnoo"" but king smash na queen fify walikuja kuwapoteza ile mbaya...sema now days east Africa wameharibu mno kumtoa Queen fify " kwenye the cruz
Kipindi kile earadio ilikuwa imesimama vizuri aisee..siku hizi wanaunga unga tu
 
So walikuwa wameshaacha kutangaza the cruise au?
We mbonq mgumu kuelewa? manake wakipandishiwa dau waka resign ,next time usiniulize maswali ya kijinga wakati majib nime ambatanisha...niombee kiberiti Kwa Mwana hapo!
 
Japo perfecto alianza zamani kutangaza the remedy is far better than mzee wa +255
 
Kennedy yupo vzr bana nlianza kumfahamu kuna interview alikuwa anazifanya YouTube nadhani kipindi hicho alikuwa Arusha.
Baadaye ndo akaibukia Ea radio kwny pindi la the cruise wakiwa na george bantu.

THE SESSION
 
Tunachekecha chekecha zilizomake head line au vipi eeh, leo niko na mnyama mkali katoa thread ya kishamba au vipi eeh asisahau kuja kuosha magari kwenye garage yangu ya wanyama wakali au vipi eeh
 
Waliitwa wote Kwa mkupuo, Ken,Mamy George Na Seniorita baada ya kua frustrated Kwa muda mrefu Na mutu murefu Nasser kingu, any question??!
naongezea hawa clouds iliwachukua baada ya efm kufanya usajili wa kina hando na pj
 
Tunachekecha chekecha zilizomake head line au vipi eeh, leo niko na mnyama mkali katoa thread ya kishamba au vipi eeh asisahau kuja kuosha magari kwenye garage yangu ya wanyama wakali au vipi eeh
Hahahaha..wadau wanakwambia hizo ndo swagga
 
Watu wakisema wanaume wa Dar kuna la kubisha kweli, kam hali yenyewe ndio hii???? Mnatuzalilisha sisi wanaume halis jamani
 
Shida iko wapi we mwanamke?
Hayo mambo waachie wanawake, mwanaume anafikilia mambo ya kiume sio kupambanisha wanaume wenzio, wewe jamaaa punga kabisa tena halina kificho
 
Kenedy The Remedy ni mtangazaji complete,wakati Perfect ni muungaji wa maneno.mtangazaji akitokea ipp ujue yupo vizuri
 
Tunachekecha chekecha zilizomake head line au vipi eeh, leo niko na mnyama mkali katoa thread ya kishamba au vipi eeh asisahau kuja kuosha magari kwenye garage yangu ya wanyama wakali au vipi eeh
Big shout out sana kwa T.I.G.O tigo kwa kunipa mashavu na kuchekecha Two gwala gwala kama upepo vile au vipi bhana eeh.!!Aminia sana kwa Dickson Sway na Askofu tza kwa kusimamia mpango mzima,I'mma Out over here,,Teh teh
 
yani yule jamaa script yake ni ile ile maneno hayabadiliki hahaha
 
Back
Top Bottom