Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Unapata faida gani kudanganya?Hiyo asilimia 51% sio ya kutoa michango yenu pale kwenye timu mkuu
Ila ni dhamani nzima ya timu na ndio maana Leo hii Mo dewji anaitumia Brand ya timu katika matangazo Yale
Yaani matangazo kwenye jezi aweke na pesa achangiwe
Kuna tangazo kaliweka bure pale?