Utopolo wengi maskini hawana hela na asilimia kubwa ya mashabiki wa Yanga ni wazee na wanawake na inajulikana wazi wanawake na wazee hawana hela kadri siku zinavyokwenda ule mjadalq nani mwenye washabiki wengi Tanzania kama unapata majibu
Yes ni Simba maana inaongoza kwa followers katika mitandawo yote kuanzia insta you tube Facebook tweters jamii forum tiktok
Kwanini nasema Simba ndio inaongoza kwa mashabiki Tanzania jibu rahisi kama darasani unashindwa kupata 20 usitegemee kupata 100 kila paper ukifanya wee unapata mswaki 20 Failure maana yake usipambane kutafuta 100 tafuta kwanza hata 40 izoee then utafute 50 na kuendelea hapa nina maana ya kwamba kama Yanga imepitwa kila mahali na Simba katika muitikio wa mashabiki kwa jambo lolote basi hata katika mashabiki wa jumla itapitwa ref hapo juu ☝☝
Mazingira yangu ya kazi mara nakutana na wanafunzi kuanzia primary hadi secondary kuna utafiti naufanya kila mwanafunzi ninaekutana nae huwa namuuliza je ww ni shabiki wa timu gani ? Majibu Kati ya 10 Simba wanakuwa 7 au 8 na Yanga wanakuwa wawili hata juzi ile mechi Yanga walioshinda moja ile shule ilikuwa kimya mpka headmaster anauliza wanafunzi mbona hamfurahii inamaana humu wengi ni Simba inaonekana na nilichojifunza mengine mawili mashabiki wengi wa Yanga katika ile shule wamerithi kutoka kwa baba zao au mama zao ukimuuliza utasikia baba au mama ni Yanga ila kwa Simba ni tofauti utakuta timu anaipenda yeye na ameichagua la mwisho asilimia kubwa ya watoto wa kike katika ile shule karibia wote Simba Yaan katika 10 Yanga mmoja au hakuna tofauti na wanaume na Hiyo inakaribia watoto 700 kuanzia primary hadi secondary na Private school
Swali kwa utopolo wote anaesema Yanga mna watu na mashabiki wengi mnatumia njia gani?