Nanunua biashara na kuiendeleza

Nanunua biashara na kuiendeleza

bullbar

Senior Member
Joined
Oct 21, 2014
Posts
148
Reaction score
126
habari zenu wadau wa jf...nikiwa kama mjasiliamali naja kwenu kwa lengo la kunua biashara ya mtu yoyote, ambaye kwa sababu mbalimbali ameshindwa kuendeleza hiyo biashara..nachukua kama fursa ya kuwa mnunuzi kwa mwenye kuuza biashara yake...mmiliki awe anafanya hiyo biashara maeneo ya jiji la dar es salaam.
ni PM kwa mwenye nia..

pia nafanya venture kwa mwenye idea ya biashara yoyote ambayo mchanganuo wake unao eleweka
nawasilisha
 
Ni pm nina frem ya chips kwa mtogole nzur barabaran tuwacliane
 
Tembelea tovuti ya kijasiriamali inayoitwa www.mpakasi.com huko utapata fursa nyingi za kibiashara kwa kampuni zinazotafuta partner,agents,distributors na hata business for sale
 
Back
Top Bottom