bullbar
Senior Member
- Oct 21, 2014
- 148
- 126
habari zenu wadau wa jf...nikiwa kama mjasiliamali naja kwenu kwa lengo la kunua biashara ya mtu yoyote, ambaye kwa sababu mbalimbali ameshindwa kuendeleza hiyo biashara..nachukua kama fursa ya kuwa mnunuzi kwa mwenye kuuza biashara yake...mmiliki awe anafanya hiyo biashara maeneo ya jiji la dar es salaam.
ni PM kwa mwenye nia..
pia nafanya venture kwa mwenye idea ya biashara yoyote ambayo mchanganuo wake unao eleweka
nawasilisha
ni PM kwa mwenye nia..
pia nafanya venture kwa mwenye idea ya biashara yoyote ambayo mchanganuo wake unao eleweka
nawasilisha