Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,317
Habari jameni humu ndani. Ninahitaji madumu ya lita moja ambayo nikishafunga bidhaa yangu mteja akute iko sealed. Niko Ruvuma. Huku kuna mama mmoja anauza ila bei yake tsh 500 na haishuki hata kidogo. Mwenye kuuza niko tayari kununua. Mimi ni mtengenezaji wa sabuni za maji aina zote. Asante.