Nanunua Madumu ya lita moja yanayofungwa kwa sealed

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2012
Posts
3,023
Reaction score
1,317
Habari jameni humu ndani. Ninahitaji madumu ya lita moja ambayo nikishafunga bidhaa yangu mteja akute iko sealed. Niko Ruvuma. Huku kuna mama mmoja anauza ila bei yake tsh 500 na haishuki hata kidogo. Mwenye kuuza niko tayari kununua. Mimi ni mtengenezaji wa sabuni za maji aina zote. Asante.
 

Very very work
 
mkuu kwann usifunge kwenye packti za plastic zenye nembo ambazo ni rahisi kwa gharama na upatkanaji kuliko makopo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…