laurentie Senior Member Joined Feb 24, 2012 Posts 100 Reaction score 77 May 5, 2021 #1 Habari wadau wa nafaka nanunua mahindi yawe yamekauka vizuri sana yasiwe na uchafu bei ni 350/kg malipo ni baada ya kushusha mzigo. Tupo Arusha tunanunua kuanzia tani 10, mahitaji yetu ni tani 100. Mawasiliano 0622115570/0784418789
Habari wadau wa nafaka nanunua mahindi yawe yamekauka vizuri sana yasiwe na uchafu bei ni 350/kg malipo ni baada ya kushusha mzigo. Tupo Arusha tunanunua kuanzia tani 10, mahitaji yetu ni tani 100. Mawasiliano 0622115570/0784418789
R RtsHjcq JF-Expert Member Joined Aug 19, 2017 Posts 4,753 Reaction score 5,512 May 5, 2021 #2 Mmh au mimi ndo sijaelewa ... Bei 350/Kg?...inakuwa vipi hapa.
goroko77 JF-Expert Member Joined Jul 9, 2019 Posts 8,845 Reaction score 13,072 May 5, 2021 #3 Kwani hiyo kwa haraka tu kilo Mia unanunua kwa elf 35 only aise kweli ulikuwa. Shambani wew
Dr hyperkid JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 12,679 Reaction score 25,646 May 5, 2021 #4 Ili ukalangue Kenya Wameru mnashida mahali
Iruru JF-Expert Member Joined Jan 27, 2014 Posts 1,471 Reaction score 2,891 May 5, 2021 #5 Jamaa kasema ni mmeru? [emoji2] [emoji2] hyperkid said: Ili ukalangue Kenya Wameru mnashida mahali Click to expand...
Jamaa kasema ni mmeru? [emoji2] [emoji2] hyperkid said: Ili ukalangue Kenya Wameru mnashida mahali Click to expand...
wax JF-Expert Member Joined Jun 14, 2015 Posts 5,945 Reaction score 5,733 May 5, 2021 #6 Daaah fanya 800/= kwa kilo
wax JF-Expert Member Joined Jun 14, 2015 Posts 5,945 Reaction score 5,733 May 5, 2021 #7 Nikuletee tani saba kesho mapema sana.
Kiti Chema JF-Expert Member Joined Oct 18, 2017 Posts 1,793 Reaction score 1,961 May 5, 2021 #8 Njoo uchukue kasulu kigoma kilo moja na nusu kwa 400 Tu,
laurentie Senior Member Joined Feb 24, 2012 Posts 100 Reaction score 77 May 13, 2021 Thread starter #9 kazi NA sala said: Mmh au mimi ndo sijaelewa ... Bei 350/Kg?...inakuwa vipi hapa. Click to expand... kilo moja 350
kazi NA sala said: Mmh au mimi ndo sijaelewa ... Bei 350/Kg?...inakuwa vipi hapa. Click to expand... kilo moja 350
laurentie Senior Member Joined Feb 24, 2012 Posts 100 Reaction score 77 May 13, 2021 Thread starter #10 Kiti Chema said: Njoo uchukue kasulu kigoma kilo moja na nusu kwa 400 Tu, Click to expand... ww lete bss tutakupa 350 kwa kilo
Kiti Chema said: Njoo uchukue kasulu kigoma kilo moja na nusu kwa 400 Tu, Click to expand... ww lete bss tutakupa 350 kwa kilo
Kiti Chema JF-Expert Member Joined Oct 18, 2017 Posts 1,793 Reaction score 1,961 May 13, 2021 #11 laurentie said: ww lete bss tutakupa 350 kwa kilo Click to expand... Gharama za kuyafikisha huko, duuuh, nikubwa sana mkuu, na dhani njiani kuna tozo za ushuru wa kijinga, najikuta nakula hasara Boss
laurentie said: ww lete bss tutakupa 350 kwa kilo Click to expand... Gharama za kuyafikisha huko, duuuh, nikubwa sana mkuu, na dhani njiani kuna tozo za ushuru wa kijinga, najikuta nakula hasara Boss
rikiboy JF-Expert Member Joined Feb 19, 2017 Posts 21,952 Reaction score 43,265 May 13, 2021 #12 350 labda kama unataka mahindi ambayo yapo kwenye magunzi bado….upukuchue mwenyewe 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣