Nanunua nguo kila ninapokutana na machinga hata kama sizihitaji, nifanyeje kuondokana na tabia hii?

Unapaswa kugeuza hulka hii kuwa biashara utafanikiwa sana!
 
Umaskini mbaya hiyo yote inatokana na wewe mleta mada kutembea kwa mguu tafuta gari uwe unatembea na gari
 
Shukuru mungu una pesa ya kununua nguo kila unapokutana na machinga,wenzako walimu hawakumbuki ata mara ya mwisho wamenunu nguo ata ya mtumba ni lini.yani wamechoka mbaya wanavaa madaso tu
Hao ni waalimu wa shule ya msingi wa secondary wanakula zao bataaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…