Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Safi sana..no comments,maana najua ni brand ya second
Ila kwa vijana ambao hawajui chakufanya, yaani ndio wanajitafutia wao hii haiwahusu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sana..no comments,maana najua ni brand ya second
🤣🤣🤣🤣 hapo mbili ndio nzima na zimekomaa, hizo nyingine katikati zimechanikaNina boxer 17🤣
Hayo mengine mpaka nikahesabu huko
🤣🤣🤣😂 brand na mpare wapi na wapi??Ni brand au ni zile za Karume ?
Ila ww kiriba tumbo utaenda nacho kwakweliBora wewe rafiki, mwenzio nikikaa bar kila kitu cha kula kikipita ninacho ndiyo maana toka nianze kulewa sina kumbukumbu siku gani sijaondoka bar tumbo likiunguruma kama mashine ya mahindi .😭
Ila weye wapunguzie wahitaji na punguza tamaa ya mavazi utakufa utayaacha
Nani mwingine ana zoea kama la kwangu la kununua nguo kila unapoletewa na mtembezaji. Nikikaa home naona nimejaza sana nguo hata ambazo sizivai masanduku Kwa makabati Mpaka chumba kinageuka kero kinanuka nguo(mitumba hasa +dukani).
Kila nikitaka kuzigawa nashindwa nianzie wapi ama nimpe nani na hata kama nikimpa mhitaji siku moja moja awe mnywaji mwenzangu au mzoa taka basi nitaishia kumchagulia dosho kadhaa moja au mbili na sio nguo kali ya fashion zile nzuri zinazoita ingawa sizivai hata mwaka mzima.
Kugawa imekuwa ni kama nataka, sitaki maana kuna kipindi unachafua nguo zote zile code za kwendA ila bado unakuwa na mzigo wa akiba still unatoka nazo Safi kwenye mishe.
Sasa cha ajabu najua Nina nguo kibao ila bado Nikikaa bar au kitaa ikaletwa nguo naiona kazi nzuri hii lazima nilipe hela.
Hii sijui tunaita ulafi, uchoyo au roho mbaya au ubinafsi Kwa maana akili Kiukweli inataman jambo moja niwe na nguo chache ila nzuri na mambo yataenda tu fresh mfano form six zako kali 5,jeans na cardet 10 kali, t shirt 5, boxer 10 kali.
Inakuwa imeisha Sasa Mara makanzu kibao, makoti kibao, ma suruali ya mwaka juzi, mashati ya 2021. Chumba kinatia Mpaka uvivu kupumzika Kwa utuli.
Punguza kukaa na wanawake, wanakuambukiza tabia za kike kikeNani mwingine ana zoea kama la kwangu la kununua nguo kila unapoletewa na mtembezaji. Nikikaa home naona nimejaza sana nguo hata ambazo sizivai masanduku Kwa makabati Mpaka chumba kinageuka kero kinanuka nguo(mitumba hasa +dukani).
Kila nikitaka kuzigawa nashindwa nianzie wapi ama nimpe nani na hata kama nikimpa mhitaji siku moja moja awe mnywaji mwenzangu au mzoa taka basi nitaishia kumchagulia dosho kadhaa moja au mbili na sio nguo kali ya fashion zile nzuri zinazoita ingawa sizivai hata mwaka mzima.
Kugawa imekuwa ni kama nataka, sitaki maana kuna kipindi unachafua nguo zote zile code za kwendA ila bado unakuwa na mzigo wa akiba still unatoka nazo Safi kwenye mishe.
Sasa cha ajabu najua Nina nguo kibao ila bado Nikikaa bar au kitaa ikaletwa nguo naiona kazi nzuri hii lazima nilipe hela.
Hii sijui tunaita ulafi, uchoyo au roho mbaya au ubinafsi Kwa maana akili Kiukweli inataman jambo moja niwe na nguo chache ila nzuri na mambo yataenda tu fresh mfano form six zako kali 5,jeans na cardet 10 kali, t shirt 5, boxer 10 kali.
Inakuwa imeisha Sasa Mara makanzu kibao, makoti kibao, ma suruali ya mwaka juzi, mashati ya 2021. Chumba kinatia Mpaka uvivu kupumzika Kwa utuli.
Nina mtumbo mkubwa utasema nina mimba nimejaza roller chumbani kwangu basi kila nikiamka napiga tumazoezi twa hapa na pale lakini ngoma bado bilabila .Ila ww kiriba tumbo utaenda nacho kwakweli
😀 😀 😀 😀Nina mtumbo mkubwa utasema nina mimba nimejaza roller chumbani kwangu basi kila nikiamka napiga tumazoezi twa hapa na pale lakini ngoma bado bilabila .
Mazoezi yenyewe nataka niache maana hayanisaidii chochote zaidi ya kusababisha chumba changu kinuke majasho na harufu za ghafla.
Hapo sawa, na ndio maana nimesema sio wote, ni baadhi!Wewe Dada Umenifanya ñicheke Kwa Sauti😂😂😂mbona mnawaonea Sana Ma bodaboda Jamani! Nadhani haujawahi KUKUTANA na walio Smart!! Kuna Kaka Alikuwa Bodaboda wangu Nzega,Alikuwa Smart Sana utafikiri mtu wa Ofisini Yaani
...kuna mmoja alisema anaogopa popobawa ndio maana analala na boksa.Labda halali na boxer[emoji3][emoji3][emoji3]
Umri huo unalalia mashuka ya kimasai?Mashuka yangu matano ya kimasai
😂
Sasa lile buti la kijani la Tanesco nalo no mparo?Mii list angu inajaa kwa begi la mgongoni.😂😂😂😂😂
Hapo unakadilia tu
Jinsi mbili.2
Tshirt moja 3
Shati 1
Buti la TANESCO 1
Mwisho
😂😂😂
Msiwaogope hao wenye marundo ya nguo jamani.Na hatujaribu.
😂😂😂😂
Umri upi?Umri huo unalalia mashuka ya kimasai?
Au ulipewa zawadi kwenye graduation ya chuo?
Rudi pale juu....umesema unalalia hayo.Umri upi?
Chuo kipi?
Mashuka ya kimasai ni vazi sio ya kulalia.