Nanunua play console kwa 1M

Nanunua play console kwa 1M

NetFasta

Member
Joined
Jun 19, 2019
Posts
51
Reaction score
39
Nanunua Google Play Console bei kuanzia laki 5 hadi milioni moja na laki 5 , iwe na angalau mwaka mmoja, na app hata moja ndani, No: 0718474600
 
Mkuu kwanini usifungue console ya kwako kwa dola 25 tu ambayo ni takriban shilingi 70,000 TZS ?
tupe uzoefu za kununua zina nini za kufungua mpya kuna nini
 
Duh... Hivi hii thread itaendelewa kupostiwa mara ngapi 🙄
Screenshot_2024-06-29-07-46-36-496_com.quoord.jamiiforums.activity.png
 
Mkuu kwanini usifungue console ya kwako kwa dola 25 tu ambayo ni takriban shilingi 70,000 TZS ?
tupe uzoefu za kununua zina nini za kufungua mpya kuna nini
Nanunua Google Play Console bei kuanzia Millioni 1 hadi milioni 2 , iwe na angalau mwaka mmoja, na app hata moja ndani, No: 0718474600
 
Back
Top Bottom