Mayela chalya's
Member
- Sep 7, 2013
- 29
- 44
Kwanini unasema hivyo mkuuOgopeni matapeli..
Situka mkuu.. Watu wanaonunua mzigo mikubwa bila kutaja walipo wala kutaja bei, aslimia kubwa ni matapeli. Huniamini nenda inbox ukapangweBei inbox ya nini mkuu, biashara huria we sema tani moja unanunua sh ngapi
Uko sahihi mkuuSituka mkuu.. Watu wanaonunua mzigo bila kutaja walipo wala kutaja bei, aslimia kubwa ni matapeli. Huniemeni nenda inbox ukapangwe