Nanunua Vanilla kuanzia kilo 200 grade one, mzigo uwe DSM

Nanunua Vanilla kuanzia kilo 200 grade one, mzigo uwe DSM

geosir

Senior Member
Joined
Aug 24, 2020
Posts
143
Reaction score
169
Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu, kama unauza vanilla grade one (kuanzia sentimita 13 na kuendelea) njoo PM kwa mazungumzo zaidi.

Iwe Dar es Salaam.....

Call/Whatsapp: 0710535327
 
Wenye mashamba yenu vannila international kule iringa,mteja Huyu hapa[emoji4]
 
Weka na Bei ya manunuzi watu wajichekeche,
mwenzako wa iringa ananunua kilo moja MILIIONI.
 
Bei ya Manunuzi inategemea na ubora wa vanilla uliyonayo!
 
Mwenye Mzigo wa zao la vanilla Dar es salaam Anicheki PM chaap....
 
Shambani kwangu hapo.
 

Attachments

  • IMG20221226082620.jpg
    IMG20221226082620.jpg
    1 MB · Views: 16
Back
Top Bottom