Nanunua wazo la biashara

Nanunua wazo la biashara

Una mizaha umekuja kuleta utani tu, unajua 5,000,000 mil ni kiasi gani?

Kuniaminisha kuwa una mtaji wa 'half a billion' kwa uandishi huu ni ucheshi tu!
mkuu usidhani kila mtu yuko vile kama wewe ulivyo
 
Mwenyemtaji na nia ya kufanya biashara ni muhimu sana kupata mchanganuo wa biashata hata kwakununua.
 
Back
Top Bottom