Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Nukuu👇👇
Luka 3:14 (KJV) Askari nao wakamwuliza, wakisema, Sisi nasi tufanye nini? Akawaambia, Msidhulumu mtu, wala msishitaki kwa uongo; tena mtoshewe na mshahara wenu.
Ni zaidi ya miaka2000 tangu hii sentensi isemwe.
Ukisoma vzr mstari huo yohana mbatizaji anaanza kuwaambia
Askari maneno haya
1:-Msidhurumu mtu. Hii haipingwi kabisa askari wengi wanapenda sana kudhurumu watu iwe Mali au haki Yako wapo ladhi wakudhurumu.
2:-Msishitaki Kwa uongo. Hapa Sasa ndo kiini Cha uovu wa police wakikuomba rushwa ukajifanya Sheria unazijua hizo Sheria basi tegemea kubambikizwa kesi kubwa Tena nzito sana.
Nitatoa kisa....
Mjomba wangu mwaka 2014 yeye kama mnunuzi wa ngo'mbe kuzitoa Kanda ya Ziwa Hadi pugu Dar alikamatwa na ng'ombe za wizi.
Nikweli polisi walikuja kumuokoa akiwa kapigwa vibaya sana na Wana zengo issue ilikuwa Hivi.
Mjomba alikuwa na ma wakala huko vijijini maporini Hawa ndo walinunia ng'ombe Kwa bei ya chini maana zilikuwa za wizi na walijua.mjomba alipofika aliona Mali safi akalipa mawakala zake mzigo ukabebwa kwenye Loli.
Hawakwenda muda mrefu wakasimamishwa na watu 6 wakiwa na pikipiki. Na katika majibizano jamaa wakaanza mashowe vile mjomba anakibali Wala hakuhofia ....
Muda sio mrefu watu wakajaa na kuanza kumshambulia uncle na askari nao hawakuchelewa sana wakafika na kumuokoa.
Nilienda kumuona hospital akiwa chini ya ulinzi mkali wa police. Kipindi akiwa hospital askali waliendelea kumwambia kesi Yako ni kubwa sana hii lkn kama ukitoa m5 itaisha bila kufika hata mahakamani.
Mjomba alikataa kata kata na alipo pona alipandishwa mahakamani na kusomewa mashitaka kuwa alikuwa ni jambazi akiimba mifugo na Mali za watu Kwa kutumia silaha za moto na police walikuwa nayo bunduki iliyosadikika kutumiwa na mjomba.
Mjomba tangu azaliwe hakuwahi shika bastola Wala bunduki sana sana yeye ndo alikuwa anavamiwa maana alikuwa mlima pamba haswa miaka hiyo!
Alihukumiwa na kufugwa Biharamlo badae akapelekwa butimba mwanza Hadi JPM alipotoa msamaha nae akatoka akiwa Hana ramani kabisa za maisha (sitaelezea sana)
3:-Mtoshewe na mshara yenu. N Katika taasisi zote hapa nchini police wamekuwa wakijinyakulia medali ya ushidi kuhusu rushwa.
Hawa jamaa rushwa kwao ni kama maji na samaki,kidole na Pete au tai kwenye shingo huwezi watofautisha kabisa.
Sijajua Nchi zingine na kwao ni hivihivi kama kwetu?
Ukiwa barabarani traffic Kuna rushwa ishabatizwa kabisa jina na Kila mtumiaji wa chombo Cha moto anaijua.Hii si nyingine inaitwa ya MAJI.
Ukiambiwa acha hata ya maji ndo uende wee acha asee usafiri salama salimini.
Hivi shida ni mishahara midogo ama Tamaa za watu? Kama ni tamaa iweje karibia wote wawe na tamaa?
Kazi hii ni laana ama Nini ?