Ni miwezi mitatu sasa toka mke wangu apate ujauzito wa pili baada ya ule wa kwanza kuharibika na daktari kumwmbia kwamba ni tendo la ndoa ndo lililosababisha imekuwa ni shida kwangu kupata unyumba na hata akinipa mara nyingi kunakua kukavu hata nikimuandaa vipi yani attention yake yote ipo kwenye mimba yake na sio mimi tena.
Sijui nifanye nini sometimes nafikiri kutafuta demu wa nje nipunguze machungu but naogopa kumsaliti.
Naombeni ushauri wenu nifanyeje?
Sijui nifanye nini sometimes nafikiri kutafuta demu wa nje nipunguze machungu but naogopa kumsaliti.
Naombeni ushauri wenu nifanyeje?