King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,855
- 24,925
Yaani wewe sijui ni mwanaume kaptula! Wenzio wanatafuta watoto, wewe ushaambiwa na dr nini tatizo. Afu unasema anawaza mimba yake! Si ubebe na wewe yako ili asikudolishie?
ni miwezi mitatu sasa toka mke wangu apate ujauzito wa pili baada ya ule wa kwanza kuharibika na daktari kumwmbia kwmba ni tendo la ndoa ndo lililosababisha imekuwa ni shda kwangu kupata unyumba na hata akinipa mara nying kunakua kukavu hata nikimuandaa vipi yani attention yke yote ipo kwenye mimba yake na sio mimi tena sijui nifanye nini sometimes nafikiri kutafuta demu wa nje nipunguze machungu but naogopa kumsalit naombeni ushauri wenu nifanyeje?