Nanyimwa unyumba kwa sababu ya mimba

mbogyo

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2012
Posts
231
Reaction score
100
Ni miwezi mitatu sasa toka mke wangu apate ujauzito wa pili baada ya ule wa kwanza kuharibika na daktari kumwmbia kwamba ni tendo la ndoa ndo lililosababisha imekuwa ni shida kwangu kupata unyumba na hata akinipa mara nyingi kunakua kukavu hata nikimuandaa vipi yani attention yake yote ipo kwenye mimba yake na sio mimi tena.

Sijui nifanye nini sometimes nafikiri kutafuta demu wa nje nipunguze machungu but naogopa kumsaliti.

Naombeni ushauri wenu nifanyeje?
 
Sasa kama na daktari kawaambia unakosa uvumilivu - unataka na hiyo mimba pia iharibike?
 
kuwa mvumilivu kaka yangu kwa kuwa unajua kabisa kuwa ule wa kwanza uliharibika kwa sababu hiyo, sasa kinachokushinda ni nini kumvumilia walau ikuekue kwanza...nakushauri pia uachane na mawazo ya kwenda kujipoza nje, mheshimu mkeo kaka.
 
Kwahiyo weh huamini maelezo ya daktari?Kuna wanawake wengine huwa hawaruhusiwi kufanya shughuli yoyote wanapokuwa na mimba ili kuzuia kuharibika kwa mimba.Wanawake hawafanani linapokuja suala la mimba.
Wewe ni baba,ndo mlinzi wa familia yako hivi mkeo angekuwa kalazwa hospitali kwa miezi sita au zaidi ungefanyaje?

Nina mashaka na uwezo wako wa kufikiri..
 
yani umenipa hasira vibaya mno any way acha uselfish eti mimba yake je wewe hauusiki na huo ujauzito? acha kujifikiria zaidi wewe kuliko mwenzako.
 
U r so selfish..huyo mtoto ni wenu...la km hutaki mtoto sema...acha kumnyanyasa mwenzio....kwanza mimba tu n adhabu tosha..bado hajaenda labour...la sivyo omba uibebe wewe.pumaf kabisaa....unashindwa kumvumilia mwenzio kwa jambo ambalo ni faida kwenu...acha kuendekeza ndono
 
we ukijifanya kidume utaharibu mimba tena na utamsababishia mwenzio matatizo,mvumulie mwenzio hiyo ndo maana ya ndoa khaa
 
Vumilia tu. Hata hivyo ni ngumu kuvumilia muda wote huo maana itafika wakati ukikojoa mkojo na mbegu zinatoka.

Piga punyeto au tafuta malaya japo mara 1 kwa wiki, uzuri wa malaya hachukuwi namba yako ya simu wala huchukuwi yakwake unapomaliza mmemalizana.
 
mimba ina umri wa miezi mitatu ameanza tabia hiyo toka ikiwa na mwezi mmoja
Kama huitaji mtoto hiyo mbona raisi tu shauriana na mwenzio fungeni kizazi muendelee na hiyo shughuli unayoikosa.Akili zingine fikiri ungekuwa wewe unafanyiwa hivyo ungejisikiaje?

Acha UMIMI maisha hayaendi hivyo huyo ni mke wako mjali kama unavyojijali mwenyewe.
 

Akili zingine bure kabisa....kwanza mimba kuanzia mwezi mmoja mpaka mitatu ni delicate sana madaktari wanadvice kuwa waangalifu na ikiwezekana kutofanya mapenzi.

Tatizo la kwanza unajua chanzo kisha unapuuza....mbuzi kabisa wewe
 
duuu! jamani nashukuru kwa ushauri wenu wenye hisia kali ntajitahidi kadri niwezavyo kuvumilia mihemko
 
Pia jitahidi asitumie kabisa vinywaji vyenye kaffeina kama vile chai ya rangi, kahawa, azam cola, pepsi, cocacola, malta, redbull...kwa kifupi asitumie soda au juisi ya kiwandani ya aina yeyote kwani kaffeina hupelekea miscarriage, pia anaweza kuepuka nyama nyekundu. kama nitapata mengine nitaandika tena.


duuu! jamani nashukuru kwa ushauri wenu wenye hisia kali ntajitahidi kadri niwezavyo kuvumilia mihemko
 
Vumilia kwanza ukumbuke kufanya tendo la ndoa linahatarisha kiumbe aliyomo tumboni (kama alivyoeleza dk) sasa wewe unataka kuua kwa ajili ya ngono??

Halafu ujue kipindi cha wiki 4 mpk wiki ya 20 ni kipindi kigumu sana kwa mama mjamzito (sio wote) ndio wakati kiumbe hiki tumboni ninajijenga na ndio wanawake wengi huwa wanajisikia vibaya, kutapika, kichefuchefu,uchovo na nk,na wanahitaji upendo zaidi kutoka kwa mapartner zao, sasa wewe badala na kumhurumia mkeo, kumsaidia kadiri ya uwezo yako we akili zako zinawaza mambo ya nchini tu hivi watu wengine mmeumbwa na roho gani??? kuna shida gani ukivumilia miezi 3 mpaka 9 na baada ya hapo umtaejoy love wote wawili?
 
Duuuh! Kaka naww ushauri wako mbovu!!!? Mmmh!
 
Mimi kaka ushauri wangu, ongea na mkeo vizuri ila pamoja na hayo mwambie atumie mbinu ya kukuchezea papuch yako mpaka umalize haja zako ila sio kwenda nje! Hilo linawezekana sana na utazoea tu!
 
Kaka naww ushauri wako ni mzuri kweli, mmmmh. Umeshaoa lakini?

Mimi kaka ushauri wangu, ongea na mkeo vizuri ila pamoja na hayo mwambie atumie mbinu ya kukuchezea papuch yako mpaka umalize haja zako ila sio kwenda nje! Hilo linawezekana sana na utazoea tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…