ni miwezi mitatu sasa toka mke wangu apate ujauzito wa pili baada ya ule wa kwanza kuharibika na daktari kumwmbia kwmba ni tendo la ndoa ndo lililosababisha imekuwa ni shda kwangu kupata unyumba na hata akinipa mara nying kunakua kukavu hata nikimuandaa vipi yani attention yke yote ipo kwenye mimba yake na sio mimi tena sijui nifanye nini sometimes nafikiri kutafuta demu wa nje nipunguze machungu but naogopa kumsalit naombeni ushauri wenu nifanyeje?
Ndio nshaoa kaka na matatizo yanayofanana na hayo mbinu nzuri ya kuitumia ni hiyo ila siyo kutoka nje!
nimeamua kufanya mazoezi zaid na kujishughulisha sana na shughuli zangu za ofisini yaan kazi zingne nakuja kufanyia nyumban hadi night kali nalala nikiwa hoi na sitaman kwasababu yauchovu
Mkuu, mwezi wa 1 unachezewa tu papuchi na mkono mpaka unakojoa, mwezi wa 2 unachezewa tu papuchi na mkono mpaka unakojoa, mwezi wa tatu unachezewa tu ... mpaka unakojoa?! na unaiona naniihiii ile pale!, na hii pia haina tofauti na kupigishwa punyeto. Hiyo ni kudanganyana mi siwezi. Ndiyo maana kuna baadhi ya dini wanaume wameruhusiwa kuoa mpaka wanne sababu ya mambo kama haya.
Haiwezekani unalala na mwanamke kitanda kimoja mwezi mzima eti hakupi na wewe unalala tu!, hiyo ngumu. Ni kweli ni vibaya kutoka nje ya ndoa lakini inapobidi utafanyaje? cha msingi ujuwe unaiba hivyo lazima ufichame na kwa sababu kufichama ni shida sana, ndiyo huwa tunawapitia wale wa barabarani unamplipa ukimaliza mmemalizana, hachukuwi namba yako wala huchukuwi yakwake!.
Kweli????Hata hivyo ni ngumu kuvumilia muda wote huo maana itafika wakati ukikojoa mkojo na mbegu zinatoka.
Okay...Kweli kabisa.
ni miwezi mitatu sasa toka mke wangu apate ujauzito wa pili baada ya ule wa kwanza kuharibika na daktari kumwmbia kwmba ni tendo la ndoa ndo lililosababisha imekuwa ni shda kwangu kupata unyumba na hata akinipa mara nying kunakua kukavu hata nikimuandaa vipi yani attention yke yote ipo kwenye mimba yake na sio mimi tena sijui nifanye nini sometimes nafikiri kutafuta demu wa nje nipunguze machungu but naogopa kumsalit naombeni ushauri wenu nifanyeje?
duuu! jamani nashukuru kwa
ushauri wenu wenye hisia kali ntajitahidi kadri niwezavyo kuvumilia
mihemko
we ukijifanya kidume utaharibu mimba tena na utamsababishia mwenzio matatizo,mvumulie mwenzio hiyo ndo maana ya ndoa khaa
Tangu lini mimba ikaharibika kwa kupeana utamu!
Inabidi ustahamili, usilazimishe. Unanshangaza!
Sure malaya ndio mpango mzima hakuna upuuzi wa nakupenda pia nakutaka pia mpenzi wee!Vumilia tu. Hata hivyo ni ngumu kuvumilia muda wote huo maana itafika wakati ukikojoa mkojo na mbegu zinatoka. Piga punyeto au tafuta malaya japo mara 1 kwa wiki, uzuri wa malaya hachukuwi namba yako ya simu wala huchukuwi yakwake unapomaliza mmemalizana.
Si mbovu hata kidogo iko proven malaya wanahatarisha afya tu si ndoa!chukua nyumba ndogo uone kama hujamwacha mkeo-watajipendekeza mpaka kwa wanao ilimradi wakuchanganye!Duuuh! Kaka naww ushauri wako mbovu!!!? Mmmh!