Nanyimwa

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Posts
21,947
Reaction score
4,470
Jamani mwenzenu nanyimwa kuku mtamu nimfanyaje jamani?
 
Kha! kumbe kuku wa jirani ndio anakuliza mie nilifikiri wa kwako, tafuta mwingine mzuri zaidi ya huyo umfuge mwenyewe utaona kama kuku wajirani hatokuonea wivu nae atakuwa analia kama ww
 
Kama ni wako sioni kwa nini utumie manati..........lol mambo ya chumbani inafikia kuwa kichekesho.
 
Jamani namaanisha mmiliki ni mpenzi/lazizi wangu kwa nini aninyime?
 
aah itakua akikupa humfikishi xo anaona utamzingua tu ne nda tuishieni/tuition
 
Mwenzangu ndo mmiliki ananinyima kuku mtamu nimfanyaje? Hatutendeane haki jamani
Kumbe mwenzako ndiyo mmiliki basi vumia utazoea kunyimwa kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeeeh.
 
Kumbe mwenzako ndiyo mmiliki basi vumia utazoea kunyimwa kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeeeh.

Kwanini anilishe mimi kuku wa kizungu tu wkt kuku mtamu namuona yuleeeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…