Nanyimwa

Nanyimwa

Nunua wa kwako mfuge mwenyewe jaman!
Utaliliaje wa wenzio wanaogaramia kufuga na kumpendezesha!

Mi mwenyewe nachangia mashudu na pumba lakini nanyimwa kumla kuku mtamu
 
usiwe mwoga mwambie ujue moja halafu usikatishwe tamaa na jibu lake hata kama halionyeshi mwelekeo ikiwezekana lia kama pinda mwambie wewe bila kuku. wakienyeji hufiki. kumbuka kuwa wewe ni mwanaume na kama kuna kitu mwanaume amejaliwa na mungu basi ni uwezo wake wa kkushawishi na pia jitahidi kuhudumia mgodi mazee mazee maana kama unyesha upendo wa dhati yaani mpaka mwenyewe akifikiria anajina mjinga yaani unakuwa mkarimu mpaka mwenyewe ataona alipe fadhila kwa kupikia kuku wa kienyeji tena atakuwekea mpaka na mnavu unajua kuku mnavu wewe kama hujawahi pata hiyo useme nikuambie ninini.
mzee mwenzako niliwahi kupewa kuku mnavu nilichanganyikiwa sikuamni ila siku hizi nanyimwa hivyo nimeamua kula hotelini. kna hoteli nimekuta wanapika kuku wa kienyeji ila wao wanaweka kisamvyu manzee bei yake sasa maana kwa huteli iko dar na mimi nakaa arusha siku nikijisikia kula kuku kisanvyu ni siku tatu au mbili kusafiri kufikia gest hivyo ni gharama lakini nimeamua kula sina ujanja.

karibu kwenye kilabu cha wala kuku wa kienyeji kwa kisamvu au mnavu nakutakia mafanikio mema
 
Jamani namaanisha mmiliki ni mpenzi/lazizi wangu kwa nini aninyime?

Nenda kasalimie na uwajue wazee wake kuwa huyu ni baba na huyu ni mama, hapo utapata hati miliki usipofanya hivyo utaendelea kuvuta manati na kuku hutampata kwa kutokuwa na shabaha.
 
huu uzi ni tata sana ... vyovyote iwavyo, haujakaa vema!
 
Back
Top Bottom