pet geo pet
JF-Expert Member
- Jun 30, 2018
- 508
- 788
Wakuu habarini...??niende kwenye mada moja Kwa moja.
Nimejaribu kupambana na haya maisha toka nimalize chuo mwaka 2018 lakini mpaka sasahivi bado sijajipata.
Lengo langu nilitaka nipate maisha kwanza ya kujitegemea ili badae nioe lakini naona umri unazidi kwenda na maisha bado magum sana kwenye huu utawala wa samia pesa haina thamani kabisa ila watu waliopo Kwenye nafasi wanapiga pesa Tu.. hongera kwao.
Mulio kwenye ndoa naombeni ushauri, hivi ni kweli mwanamke huwa anakuja na baraka kwenye ndoa...au ndo maisha yangu yatakuwa magum kuzidi wakati huu nilipo single??wengi wanasema ukioa mwanamke anakuja na baraka zake sijui ni kweli.
Karibuni kwa ushauri wakuu.