Naogopa atanizalia watoto waislam

Friedrich Nietzsche

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
2,095
Reaction score
3,649
Siku chache nilipost natafuta mtu wa kunizalia. Uzi wenyewe huu: Natafuta mwanamke wa kunizalia

Basi baada ya kuona watu wengi wanaokuja wako kimaslahi nikaamua nirudi kwene list ya ma ex zangu.

Kuna huyu demu nimekuaga nae kitambo ni muislam. Ni wale hampo wapenzi lakini ukitaka kula unajilia. Ye yupo tayari kunizalia muda wowote na anajua nimeoa na sitamuoa lakini hana shida ilimradi nitunze watoto.

Shida yangu tuko dini tofauti naogopa wanangu atawalea kimaadili ya kiislam au kuwafanya waislam kama tujuavyo hawa wenzetu wanavojua kumuingia mtu kichwani.

Aisee nina hofu sana ingawa napenda nizae nae. Kwenye ukoo wetu hamna muislam hata mmoja.
Mi sio mbaguzi lakini sitaki kuleta mgawanyiko kwene familia yangu au kuingiza kitu ambacho kina tamaduni, na imanI tofauti kwene ukoo wetu.

Tukumbuke mtoto hulelewa na mama zaidi. YaanI mama atachomlisha mwanao kichwani ndio anakua nacho.

Nifanyaje?
 

Af Mbona huku sio jukwaa la kutuma hivi? Au nakosea
 
Wanangu wote naleaga kwa amri yangu nimestaajabu kidogo kusikia mama ndie mwenye jukumu la kulea watoto kimaadili, leo hiyo ukija home kwangu watoto wangu hujiona huru sana wakiwa na mimi baba yao hiyo imepelekea mpaka mama yao kuona nimewapa dawa kumbe ni upendo
 
Unaonekana huna exposure kijana, wewe umejichimbia huko Namanyele tembea uone watu wanavyoishi hizo dini zimeletwa tu.
 
Unawafanyaje!!
Mimi nachojua watoto humsikiliza sana mama yao kuliko baba !!
Na situation kama yangu ndio kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…