Naogopa atanizalia watoto waislam

Naogopa atanizalia watoto waislam

Siku chache nilipost natafuta mtu wa kunizalia

Uzi wenyewe huu

Natafuta mwanamke wa kunizalia

Basi baada yakuona watu wengi wanaokuja wako kimaslahi nikaamua nirudi kwene list ya ma ex zangu.

Kuna huyu demu nimekuaga nae kitambo ni muislam.Ni wale hampo wapenzi lakini ukitaka kula unajilia .Ye yupo tayari kunizalia muda wowote na anajua nimeoa na sitamuoa lakini hana shida ilimradi nitunze watoto.

Shida yangu tuko dini tofauti naogopa wanangu atawalea kimaadili ya kiislam au kuwafanya waislam kama tujuavyo hawa wenzetu wanavojua kumuingia mtu kichwani.

Aisee nina hofu sana ingawa napenda nizae nae.Kwene ukoo wetu hamna muislam hata mmoja.
Mi sio mbaguzi lakini sitaki kuleta mgawanyiko kwene familia yangu au kuingiza kitu ambacho kina tamaduni, na iman tofauti kwene ukoo wetu

Tukumbuke mtoto hulelewa na mama zaidi. Yaan mama atachomlisha mwanao kichwani ndio anakua nacho
Nifanyaje??
Wewe ni kichaa
 
Ni kweli Mama ana influence sana, mimi nilifata dini ya Mama japo Baba alikuwa tofauti na mpaka kesho kule kwenye imani ya Baba hunipeleki

Hivyo kuhusu hilo pigia tu mstari, lakini kwa kuwa hizi imani zililetwa tu na meli hakuna namna unless uwe unaishi naye nyumba moja itakuwa rahisi kuwalea wanao katika misingi yako
 
haswaa[emoji108]
 
Siku chache nilipost natafuta mtu wa kunizalia. Uzi wenyewe huu: Natafuta mwanamke wa kunizalia

Basi baada ya kuona watu wengi wanaokuja wako kimaslahi nikaamua nirudi kwene list ya ma ex zangu.

Kuna huyu demu nimekuaga nae kitambo ni muislam. Ni wale hampo wapenzi lakini ukitaka kula unajilia. Ye yupo tayari kunizalia muda wowote na anajua nimeoa na sitamuoa lakini hana shida ilimradi nitunze watoto.

Shida yangu tuko dini tofauti naogopa wanangu atawalea kimaadili ya kiislam au kuwafanya waislam kama tujuavyo hawa wenzetu wanavojua kumuingia mtu kichwani.

Aisee nina hofu sana ingawa napenda nizae nae. Kwenye ukoo wetu hamna muislam hata mmoja.
Mi sio mbaguzi lakini sitaki kuleta mgawanyiko kwene familia yangu au kuingiza kitu ambacho kina tamaduni, na imanI tofauti kwene ukoo wetu.

Tukumbuke mtoto hulelewa na mama zaidi. YaanI mama atachomlisha mwanao kichwani ndio anakua nacho.

Nifanyaje?
kwani uislamu una ubaya gani
 
Umeoa?
Halafu Unatafuta wa kukuzalia???? sijaelewa kwani mke hawezi zaa?

Pili,sikushauri kuzaa na muislam mtt ni WA mama,utakuja kujutia baadae!
Acha ujinga
 
Back
Top Bottom