Wisdom youlth
Member
- Sep 14, 2011
- 73
- 17
Wakuu hapa kijana mwenzenu naumia,,,huwa nina kawaida ya kufanya mazoezi asubuhi na mapema so huwa nawahi kuamka,,
Basi juzi nilikua nimedamka mapema kwa ajili ya kupasha mwili, cha ajabu nikajihisi mzito sana yani mchovu nikaruka kamba na kupiga pressup basi ile nikaenda kuoga nikajishika k orodani kuna maumivu makali nikayasikia basi nikamaliza kuoga nikawa najichunguza vizuri kwenywe korodani nikawa naona ka ngozi imeungua ungua hivi,,
nikapuuzia basi jana kazini nikikaa nasikia ka majimaji yanatoka sehemu ya korodani alafu yanagandiana na kunisababishia maumivu makali,, hapa dk chache nimetoka haja ndogo navyojiangalia naona ka nilipigwa au kubinywa na kitu ka sio mdudu kuniuma,, msaada jamani.