Naogopa kumwambia

Naogopa kumwambia

Shauri

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2010
Posts
804
Reaction score
453
hi jf
kuna msichana mmoja mrembo sana!ana umbo zuri,kiukweli kaumbika.nimempenda.sasa kazi iko hapa,kumwambia nampenda imekua ishu maana hua tukikutana tunaongea mambo ya kwaida tu.
Mawazo!
 
Nenda shule kasome kwanza
Duh fungua macho kijana.
 
hi jf
kuna msichana mmoja mrembo sana!ana umbo zuri,kiukweli kaumbika.nimempenda.sasa kazi iko hapa,kumwambia nampenda imekua ishu maana hua tukikutana tunaongea mambo ya kwaida tu.
Mawazo!
Unataka tukufundishe jinsi ya kutongoza?
 
Wababa msaidieni kijana ila sijui umri wake unaruhusu au pepo la uasherati ndio linamsumbua
 
mpelekee kipepeo
au mpelekee kad
kutongoza unaogopa MENGINEYO VP?
 
Njoo tukupatie dawa ambayo wewe ukiwa unamuambia kitu atakuwa hakuoni na hajibu chochote zaidi ya sawa au ndiyo.
Najuwa wewe tatizolako ni kuogopa matokeo ya kukataliwa!.
 
hi jf
kuna msichana mmoja mrembo sana!ana umbo zuri,kiukweli kaumbika.nimempenda.sasa kazi iko hapa,kumwambia nampenda imekua ishu maana hua tukikutana tunaongea mambo ya kwaida tu.
Mawazo!

Uko maeneo gani? Nionyeshe huyo dada plz then ntaku lead
 
madenti yamejaa humu lingine hilo mpaka leo bado linaogopa kutongoza

kwa kusoma tu topic yako nimegundua wewe ni teen ager

Ushauri: chukua madaftari kasome Kubaaaaaaaaf!
 
Uko maeneo gani? Nionyeshe huyo dada plz then ntaku lead[/QUO

umenichekesha aiseeee!!!!! utafikiri zamani tulivyokuwa tuwape mahindi wakubwa zetu watuoneshe njia!!! kinachofuata ni muhindo wote wa kuchomwa kuliwa!!
 
Vipi rudi enzi nzetu mwandikie Barua ya mpenzi then itume POSTA!!

hi jf
kuna msichana mmoja mrembo sana!ana umbo zuri,kiukweli kaumbika.nimempenda.sasa kazi iko hapa,kumwambia nampenda imekua ishu maana hua tukikutana tunaongea mambo ya kwaida tu.
Mawazo!
 
Vipi rudi enzi nzetu mwandikie Barua ya mpenzi then itume POSTA!!
Eng. huyo mtoa mada ni mtoto mdogo sana amezaliwa kipindi hiki cha simu ukimwambia mambo ya enzi zetu hatayajulia wapi? hawa ndio wanakwambia mwaka 2000 ilikuwa zamani sana
 
usipate shida wewe mwambie kwani akikataa utapigwa vibao?mwambie anza kiutan afu baadae kazia kamba ipo siku atakuelewa.
tahadhari:kwa kuwa mnajuana kwa muda kidogo tambua anajua tabia zako kwa hiyo ukoina aelekei ujue hatabadili uelekeo.
 
hi jf
kuna msichana mmoja mrembo sana!ana umbo zuri,kiukweli kaumbika.nimempenda.sasa kazi iko hapa,kumwambia nampenda imekua ishu maana hua tukikutana tunaongea mambo ya kwaida tu.
Mawazo!

Kwani kupenda ni kosa? Imeandikwa tupendane. Mwambie tu "nakupenda kama dada yangu" Halafu mnaendelea kama dada na kaka wa hiari. Ila kupenda usipende warembo tu. Pendo watu wote.
 
Back
Top Bottom