Naogopa kutongoza

Basi subiri utongozwee wee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
pole sasa kuna dawa ambayo itakusaidia ika utafute mwanaume rijali maana hiyo dawa ni lazima aipake kwenye uume wake na akuingilie matakoni na huo woga wote utaisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona hao ni Mteremko Tuu
 
Ukifahamu kwamba

Mwanamke HaweZi kujitongoza mwenyewe utagundua kuwa mtu mwingine tofauti na yeye anatakiwa aende akamtongoze lakini huyo mtu anayetakiwa kumtongoza kama wewe anaogopa sasa.

Mwanamke anatamani kumwona mtu anamtongoza lakini anayesubiriwa kutongoza ni mwoga.

Usiogopeshwe sura zao,unapomtongoza anaweza kukuonesha umefanya jambo la kipuuzi au kuonesha unaongea pumba lakini moyoni anasema YES YES YES na ukweli wote tunajua upo moyoni.
 
Safi
 
Uzuri wa kutongoza ni kwamba ukishajitoa ufahamu tu ukamfata dem ukaongea nae na uoga wote unaisha. Mana we jiulize kitu kimoja tu, unamuogopea nini uyo dem? Ana bunduki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…