TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,999
- 24,328
Majanga kwa jinsi yanavyoikumba Afrika ya Mashariki na kuua maelfu ya watu yananifanya niogope kabisa kwenda Kariakoo.
Majengo ya Kariakoo mengi hayana ubora, na life span ya majengo mengi nahisi imefika ukingoni.
Yakianza kuporomoka ni hatari.
Kwa usalama wa maisha yangu siendi huko
Kweli upo makini na maisha yako.Majanga kwa jinsi yanavyoikumba Afrika ya Mashariki na kuua maelfu ya watu yananifanya niogope kabisa kwenda Kariakoo.
Majengo ya Kariakoo mengi hayana ubora, na life span ya majengo mengi nahisi imefika ukingoni.
Yakianza kuporomoka ni hatari.
Kwa usalama wa maisha yangu siendi huko
Majanga kwa jinsi yanavyoikumba Afrika ya Mashariki na kuua maelfu ya watu yananifanya niogope kabisa kwenda Kariakoo.
Majengo ya Kariakoo mengi hayana ubora, na life span ya majengo mengi nahisi imefika ukingoni.
Yakianza kuporomoka ni hatari.
Kwa usalama wa maisha yangu siendi huko
na pia epuka kuwasha taa au kutumia umeme....majanga ya moto yanayosababishwa na hitilafu za umeme yameongezeka pia......
Majanga kwa jinsi yanavyoikumba Afrika ya Mashariki na kuua maelfu ya watu yananifanya niogope kabisa kwenda Kariakoo.
Majengo ya Kariakoo mengi hayana ubora, na life span ya majengo mengi nahisi imefika ukingoni.
Yakianza kuporomoka ni hatari.
Kwa usalama wa maisha yangu siendi huko
<br />Majanga kwa jinsi yanavyoikumba Afrika ya Mashariki na kuua maelfu ya watu yananifanya niogope kabisa kwenda Kariakoo.<br />
Majengo ya Kariakoo mengi hayana ubora, na life span ya majengo mengi nahisi imefika ukingoni.<br />
Yakianza kuporomoka ni hatari.<br />
Kwa usalama wa maisha yangu siendi huko