Nenda petrol stesheni yoyote wanajua hiyo manenoHelo wana jf habarini za muda huu. Mtu kaniachia gari lake kwa kua tu najua kuendesha. Ila sasa nimeendesha mpaka limeishiwa mafuta. Nataka kwenda kuweka mafuta ila sijui ni petrol /aina gani? "sijawahi jaza gari yeyote mafuta "
Nisaidieni.... Nikifika kituo cha kujaza niseme nn. Jamaa siwez muuliza coz anaweza chukia na sitaki.
Haha... Sio shemeji asee... Ni ugeni tu.... Clever? Yes. Ujinga ni kujifanya unajua wakati hujui... So it's better to ask.. even a silly qn.Are you really clever?
Sasa muulize huyo shemeji aliyekuachia gari akwambie huwa anajazia kituo gani. Then ukifika pale waambie wakupe petrol ya hela hiyo unayotaka kuweka. Its as simple as A,B,C...
Hamna gari inayotembea bila copy ya kadi ww ile inayobandikwa sio kadi ni road licenceIle inayobandikwa haina... Copy cjaona
KOJOLEAA NDANII LITAWAKAHelo wana jf habarini za muda huu. Mtu kaniachia gari lake kwa kua tu najua kuendesha. Ila sasa nimeendesha mpaka limeishiwa mafuta. Nataka kwenda kuweka mafuta ila sijui ni petrol /aina gani? "sijawahi jaza gari yeyote mafuta "
Nisaidieni.... Nikifika kituo cha kujaza niseme nn. Jamaa siwez muuliza coz anaweza chukia na sitaki.
Hamna gari inayotembea bila copy ya kadi ww ile inayobandikwa sio kadi ni road licence
Muulize mwenye gari tu maana unatumalizia chaji tu
Wivu wa kuazima gari?!Acha wivu.
Ndio wewe unae anae kuazima?Wivu wa kuazima gari?!