Naogopa kwenda ku-refuel (kujaza mafuta) gari aina ya Nissan x trail... Msaada.

Magari yamevamiwaaa that's why foleni hazipungui
 
Kwani kuna aina ngapi ya mafuta ya petrol? Nijuavyo mimi petrol ya inayouzwa bongo Dar Es salaam haina tofauti na Bagamoyo, Morogoro , Dodoma nk. Sasa unasema aina gani ya petrol? Hapo nimeshangazwa kidogo. Ila Nissan x trail hutumia petrol because ndiyo kipando changu ninachokitumia!
 
Kwani ukimuuliza kuna kosa gani as long as unajaza kwa pesa yako, sasa jichanganye utie diesel badala ya petroli uone picha litakavyo kuwa
Huyo kakwiba gari home ili ajifunze kuendesha, hivyo hawezi uliza.
 
Sio lazma umwambie mafuta yameisha.Unaweza kumpgia baada ya mazungumzo kidgo muulize ivi gari aina kama yako huwa zinatumia patrol au diesel?
 
Kuna kikaratasi kinabandikwa kioo cha mbele kinaonesha fuel inayotumika kwenye gari.
 
Weka Petrol. Most of them uses Petrol

You have misled him, fact that most of them use petrol, does not mean all use petrol. His car might be among those few which do not use petrol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…