EL ELYON
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 1,565
- 1,918
Wakuu mmebarikiwa Sana na Mungu WA Mbinguni hakuna laana.
Aisee Nina rafiki yangu zaidi ya ndugu yaani tumeshibana hasa hasa hakuna Jambo linaweza tokea la kutugombanisha tushindwe kutatua.
Huyu jamaa yangu anafanya kazi mkoa mwngn Ila jirani na mkoa niliopo na nilipo Mimi ndipo familia yake ilipo yaani mkewe hawawezi kuwa pamoja sababu mkewe Naye anafanya kazi.
Bt Kila wkend jamaa anarudi huku Kwa mkewe mpk J3 alfajiri anarudi kazini.
Sa siku moja nilikuwa nimekaa na jamaa pamoja na mkewe mara mkewe akaropoka akanambia aaah huyu rafiki yako bhana siku nyingine huwa analala sebuleni yaani anapitiwa usingizi huko mpaka nimuamshe sa mwambie simpendi kweli nilimchana mshikaji japo alijitetea tetea.
Siku moja nipo na mshikaji tukawa tunapiga story jamaa akanambia unajua shemeji yako ananishangaza eti huwa ananiambia kuhusu style mbalimbali za sex ambazo huwa anazisikia kwa wenzie huko kazini Ila mi huwa namuuliza kwani tukisex haridhiki anajibu anaridhika.
Mmmh jamaa aliponambia hivyo kengele ikagonga kichwani ujue jamaa mkewe alimbikiri ye mwenyewe kwa hiyo Yule mwanamke Mambo mengi alikuwa hajui zaidi anayasikia kwa wenzie.
Nilichomshauri jamaa ni kumwambia awe mbunifu zaidi asikalili vinginevyo atagongewa mkewe siku huyo mwanamke akichepuka na akakutana na limjamaa likampga mpini wa uhakika Kwa style nzito nzito utakuwa hatari Sana Kwa mshikaji yote haya nilimchana japo jamaa ni kama alinipuuza fulani Kwa kujibu eti mradi mtu anaridhika basi sioni tatzo.
Nikamwambia kuwa makini kuna mamafia watamla mpk tigo na atanogewa kikubwa kuwa mbunifu Mzee huyo mkeo hajui Sana haya Mambo akiskia Kwa wenzie vile wanapgana mipini na mabwana zao na akicheck kwako ni kama hapti kike anazskia bs hubaki njiapanda sn na kutamani apate suluba kama anazoskia Kwa wenzie huko.
Sasa huyo shemeji yangu amekuwa Kila mara akitaka niende kwake hata Leo kaniomba niende eti nikamtembelee Ila nimekuwa nikimdanganya taenda Tu halafu navizia jamaa yangu yupo ndo naenda sasa. Siku moja usiku nilikuwa nawaaga nashangaa shemeji ananambia lini utakuja hata ulale kwangu halafu mbele ya mshikaji yangu nikamjbu takuja tu tawasiliana na mshikaji kisha takuja usijali.
Sasa wakuu huu upepo mnauonaje wazee mi nahisi kama nikienda jamaa hayupo si shetani anaweza kututembelea tukalana kimasihara hivi.
JE MY SHEM ANATAKA NIMKAZE AU WENGE LANGU TU NA TAMAA ZANGU ZA MWILI?
Au mnanishauri nn hapo siku moja nizamie nione au vp.
NB: mke WA jamaa ni msingidan hao wadada WA huko ni watamu Sana na ni chombo hasa.