nanchi
Member
- Jan 29, 2012
- 66
- 7
Wadau naombeni maushauri,najua binadamu tunatofautia uwezo wa kifikra,akili,ujasiri na mambo mengi.mi nampenda manzi mmoja hivi ni dada wa miaka kama 27 ofice zetu zinatizamana,huyu dada nimefanya mpango wa kupata phon namber nimefanikiwa,sasa kuanza inshu washkaji,si unajua tena kitu umekipenda kweli?inafikia wakati nikimuona namuogopa yani nastuka kinoma.
Naombeni maujanja bila kudai ni wakike au wakiume.
Naombeni maujanja bila kudai ni wakike au wakiume.