Naogopa Manati ya mzungu

Naogopa Manati ya mzungu

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Habari zenu,

Kwenye maisha kuna mambo mengi sana ya kuogofya, ila jambo kubwa linalotisha mimi Mjanja M1 ni Manati ya Mzungu.

Glock-pistol.jpg


Kama unajijua kuwa unamiliki Manati ya Mzungu tafadhali sana nakuomba ukae mbali namimi, maana UGOMVI NAWEWE SITAKI.

SITAKI UGOMVI NA MTU ANAEMILIKI MANATI YA MZUNGU.

Uzi Tayari.

Mjanja M1 kwasasa napatikana Vienna Austria 🇦🇹
 
Acha uoga mtoto wa kiume, hiyo Mtu akikunyooshea na kukoki kabisa kabla hajafyatua sema "MAJI" au kwa kiingereza "WATER"

Hapo risasi zitageuka kuwa matone ya maji
 
Hio mbona Haina shida. Me naogopa bow and arrowmtu akinilenga tu natoka nduki
 
Back
Top Bottom