Mjanja M1 JF-Expert Member Joined Oct 7, 2018 Posts 4,058 Reaction score 14,382 Dec 29, 2023 #1 Habari zenu, Kwenye maisha kuna mambo mengi sana ya kuogofya, ila jambo kubwa linalotisha mimi Mjanja M1 ni Manati ya Mzungu. Kama unajijua kuwa unamiliki Manati ya Mzungu tafadhali sana nakuomba ukae mbali namimi, maana UGOMVI NAWEWE SITAKI. SITAKI UGOMVI NA MTU ANAEMILIKI MANATI YA MZUNGU. Uzi Tayari. Mjanja M1 kwasasa napatikana Vienna Austria 🇦🇹
Habari zenu, Kwenye maisha kuna mambo mengi sana ya kuogofya, ila jambo kubwa linalotisha mimi Mjanja M1 ni Manati ya Mzungu. Kama unajijua kuwa unamiliki Manati ya Mzungu tafadhali sana nakuomba ukae mbali namimi, maana UGOMVI NAWEWE SITAKI. SITAKI UGOMVI NA MTU ANAEMILIKI MANATI YA MZUNGU. Uzi Tayari. Mjanja M1 kwasasa napatikana Vienna Austria 🇦🇹
Azarel JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 28,916 Reaction score 40,479 Dec 29, 2023 #2 Acha uoga mtoto wa kiume, hiyo Mtu akikunyooshea na kukoki kabisa kabla hajafyatua sema "MAJI" au kwa kiingereza "WATER" Hapo risasi zitageuka kuwa matone ya maji
Acha uoga mtoto wa kiume, hiyo Mtu akikunyooshea na kukoki kabisa kabla hajafyatua sema "MAJI" au kwa kiingereza "WATER" Hapo risasi zitageuka kuwa matone ya maji
Yo majesty JF-Expert Member Joined Sep 13, 2023 Posts 687 Reaction score 1,179 Dec 29, 2023 #3 Hio mbona Haina shida. Me naogopa bow and arrowmtu akinilenga tu natoka nduki