Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
habar wakuu,
nataka kupata admission kusoma mastera.
naomba mawasiliano na mtu am LECTURER wa hapo ili anisaidie....!!
MAWASILIANO YANGU
+255786 44 66 50
hata kwa whatApp call & sms ipo hiyo namba.
ASANTE
Wacha mchezo wewe. Kama unataka kusoma masters mbona usiende kwenye website ya Kenyatta University kisha uapply kwamba unataka kusoma course fulani. Au hata uende kwenye website yao uchukue email ya admissions office na kuwaandikia email na kusema kwamba unataka kusoma. Halafu masomo ya masters sio mambo ya kujuana eti nikupe number ya simu ya lecturer. La, hasha, kama huna bachelors degree basi hata nikikupa number ya lecturer huwezi kusaidika. Halafu degree yenyewe kama umeifanya uwe umepita vizuri yaani uwe na second class upper.habar wakuu,
nataka kupata admission kusoma mastera.
naomba mawasiliano na mtu am LECTURER wa hapo ili anisaidie....!!
MAWASILIANO YANGU
+255786 44 66 50
hata kwa whatApp call & sms ipo hiyo namba.
ASANTE
Tatizo ujuaji mwingi! Shule si sawa na kutafuta viatu vya mitumba! Asante kwa kumwelimshaWacha mchezo wewe. Kama unataka kusoma masters mbona usiende kwenye website ya Kenyatta University kisha uapply kwamba unataka kusoma course fulani. Au hata uende kwenye website yao uchukue email ya admissions office na kuwaandikia email na kusema kwamba unataka kusoma. Halafu masomo ya masters sio mambo ya kujuana eti nikupe number ya simu ya lecturer. La, hasha, kama huna bachelors degree basi hata nikikupa number ya lecturer huwezi kusaidika. Halafu degree yenyewe kama umeifanya uwe umepita vizuri yaani uwe na second class upper.
Kwa sasa sipo Kenya, ila ninaweza kumuunganisha na washkaji zangu huko, hata hivyo ameshauriwa vizuri hapo juu.
Shukurani nazani amepata mwongozo.Kwa sasa sipo Kenya, ila ninaweza kumuunganisha na washkaji zangu huko, hata hivyo ameshauriwa vizuri hapo juu.
Ha ha ha familia yake Iko KirifiSi useme tu Upo Tz Mzee. Unakula mema ya nchi na familia ulishatelekeza huko kiambu,
Hutamani kabisa kurudi misri [emoji3]
Ha ha ha familia yake Iko Kirifi
Si useme tu Upo Tz Mzee. Unakula mema ya nchi na familia ulishatelekeza huko kiambu,
Hutamani kabisa kurudi misri [emoji3]
Kenyatta hawatambui degree kutoka danganyika. Lazima usome degree ya Kenya ndo ufanye Masters. View attachment 1962206
Nmesoma enough for meWhat is Your Level of Education please…?
Hiki kiswahili tu kinaonesha maisha umeyaanzia Tanzania.By the way Mimi nina soma Maseno universityHehehehe Huwa sijaganda sehemu moja kama unvyohangaika hapo Tandale
Nimetanua wigo langu, kwa sasa niko Sudan Kusini, Wakenya huku wamewekeza kwa kwenda mbele, tunahusika kwenye ujenzi wa hii nchi ya Wasudan bati kwa bati, tofali kwa tofali.
Ujasiri wa Kikenya na elimu ya Kikenya hadi raha....
Wakenya huku wamepewa kandarasi kwenye ujenzi wa kila aina ya miundo mbinu, barabara, majengo n.k.
Nawarai Wakenya wenzangu tuepuke sana chuki za Kitanzania, tusiwe tunawabagua wageni wowote wanapokua kwetu, maana haujui itakavyokua kwa ndugu zako Wakenya wanapokua kwenye nchi zao.
Kwa mfano hawa Wasudan hapa Juba wanasifia sana namna huwa tunawapokea kwetu Kenya, ila wana hasira sana na Waafrika weusi wa Afrika Kusini, wengi wanaapa siku wakikutana nao hapa watawamaliza moja kwa moja, maana wametendwa unyama sana kila wakienda Afrika Kusini.
kwani hujui website ya Kenyatta University? application hufanywa online mzee!habar wakuu,
nataka kupata admission kusoma mastera.
naomba mawasiliano na mtu am LECTURER wa hapo ili anisaidie....!!
MAWASILIANO YANGU
+255786 44 66 50
hata kwa whatApp call & sms ipo hiyo namba.
ASANTE
Nmesoma enough for me
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]we muhuni nilijua umekuja bongo baada ya kufariki magufuli ndiyo maana umekuwa mpole siku hizi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mbona umemuacha komora096 kwa tabu za slum si unge kuja naye ,bila kumsahau Tony254Kwa sasa sipo Kenya, ila ninaweza kumuunganisha na washkaji zangu huko, hata hivyo ameshauriwa vizuri hapo juu.