Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Da kumbe na wewe umejua[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kama mimi huyo jamaa awezi kukaa kenya .....kilicho muondoa tz ni magufuli tu ...ndiyo maana siku hizi kawa mpole hapa jfSi useme tu Upo Tz Mzee. Unakula mema ya nchi na familia ulishatelekeza huko kiambu,
Hutamani kabisa kurudi misri [emoji3]