tonicJr
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 468
- 479
..Nadhani mleta uzi Amekuwa mbinafsi zaidi kwa kutazama Negatives tu za Mheshimiwa....Mwakyembe yupo sawa na usawa wake unaanzia pale alipotamka yeye kwa Kauli yake mwenyewe anauguliwa na mkewe...!maana yake hakumtoroka mkewe wala kumkimbia mkewe ninavyojua mimi kwa ule muda(usiku) mlitaka Mwakyembe awe anazunguka makoridoni usiku kucha au alale kwenye Benchi za hospitalini ndio tujue alikuwa na mapenzi na mke wake?...kitendo cha kuwashirikisha ktk kumuombea mke wake ni Upendo mkubwa mno kuliko kulala kwenye mabenchi hospitalini wakati Mkewe yupo chini ya Uangalizi Maalumu wa Madaktari....sioni kosa lake zaidi ya Chuki zisizo na maanaIn a positive note. ... pengine kashinda huko kutwa, na ikafika jioni akaambiwa amuache mgonjwa apumzike au aangaliwe, then kupunguza mawazo kenda kupata burudani, hemu tuwe positive kidogo ndugu zangu ....
Post sent using JamiiForums mobile app