Naomba aliyewahi kufanya kazi au interview Manyanya Fuel/Oil waje

Naomba aliyewahi kufanya kazi au interview Manyanya Fuel/Oil waje

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2018
Posts
2,490
Reaction score
3,584
Habari wadau..!
Kama kuna mtu anafanya kazi,ameshawahi kufanya kazi au interview Manyanya Fuel/Oil especially kwa Tunduma naomba kujua.

Maana nimepigiwa simu ya kazi na mm npo DsM .Bimafsi huwa siendagi kwenye interview zinazofanyika nje ya DsM sababu nilishawahi kuingizwa king na matapeli kuna kampuni walinipigia simu niende kwenye interview nilivyofika nikaambiwa mbona sijaitwa nikagundua kuna utapeli wa style hiyo .Kiukweli sikutapeliwa pesa ila nilijikuta nachoma nauli toka DSM mpaka Mtwara harafu wanambia hawajaita watu kiukweli iliniuma sana.

Aliyenipigia simu alisajiri mpaka namba yake kwa jina la HR wa kampuni cha ajabu hata nilipoonyesha namba iliyonipigia walisema hawaitambui.

Tangu siku hiyo siendi interview nje ya Dar kama sijatumiwa official email .
 
Back
Top Bottom