Naomba aliyewahi kulima pilipili mwendokasi za njano anipe ABC

Naomba aliyewahi kulima pilipili mwendokasi za njano anipe ABC

Phaul

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2023
Posts
295
Reaction score
551
Wanazengo kichwa cha habari kimejieleza

Natanguliza shukrani kwa atakenipa ABC kwenye hilo. Mi ndio kwanza naanza hicho kilimo nataka nitumie kumwagilia kwa matone " drip irrig."

1. Kitalu kama kuna dawa na mbolea
2 baada ya kuhamishia shambani toka kwenye kitalu nianze ma dawa zip kuua wadudu n.k

3. Jinsi ya kuvuna na kutunza mzigo ili usafiri kwenda sokoni

4. Na mengineyo kama yapo.

nawasilisha
 
Du kwanza natanguliza shukrani. Mimi nataka kulima kisarawe vijijini yaani ukitoka Dar unalipa nauli elfu 5 maeneo ya msanga kama unakujua huku. Wenzangu wanalima lama wakulima 3 hivi ila hawatoi ushirikiano na kama hawafanyi kweli hivi. Naomba elimu hiyo mkuu
Unataka kulimia wapi mkuu nikupe mwongozo
L
 
Back
Top Bottom