Naomba anayejua tiba ya kutibu madhara ya punyeto

Naomba anayejua tiba ya kutibu madhara ya punyeto

chagga dady

Member
Joined
Mar 20, 2019
Posts
31
Reaction score
23
Ndugu zangu naomba msaada wenu kutokana na nilichoandika maan nimeathirika mpka hamu na tendo LA ndoa sina ..uume umesinyaa ..sana.Msaada wenu ndugu zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muda wa kuacha ukifika utaacha tu ila msaada wa haraka tafuta demu permanent hata km siyo mzuri kwa sura lakini awe free kukupa papuchi at any time hivyo ukisikia hamu ya nyeto unaenda kujipozea kwake.

Joto la K lina umuhimu wake kwenye kukojoa
 
Pole sana kijana, umeamua kufunga ndoa na mkono wako sababu umeuamini hauwezi kuchepuka na kumuacha mme wake.
Ushauli wangu kwako ni kama ifuatavyo
1.Acha kuwa domo zege kwa wadada na jiepushe kutazama viashilia vya kukufikisha nyegezi.
2.Tafuta kitu kitachokufanya uwe busy mda wote ukipatwa na ilo wazo potofu.
3.Ukishindwa kabisa nenda kanunue malaya ila utumie ndom, hao watakupa uzoefu wa wewe kutafuta mtu wa kudum nae.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji120][emoji120]
Pole sana kijana, umeamua kufunga ndoa na mkono wako sababu umeuamini hauwezi kuchepuka na kumuacha mme wake.
Ushauli wangu kwako ni kama ifuatavyo
1.Acha kuwa domo zege kwa wadada na jiepushe kutazama viashilia vya kukufikisha nyegezi.
2.Tafuta kitu kitachokufanya uwe busy mda wote ukipatwa na ilo wazo potofu.
3.Ukishindwa kabisa nenda kanunue malaya ila utumie ndom, hao watakupa uzoefu wa wewe kutafuta mtu wa kudum nae.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu naomba msaada wenu kutokana na nilichoandika maan nimeathirika mpka hamu na tendo LA ndoa sina ..uume umesinyaa ..sana.Msaada wenu ndugu zangu

Sent using Jamii Forums mobile app

mkuuu kuiacha hiii kitu hua n mkiki amin nakwambia ata ukipata dem utapiga tyu tatizo kubwa ni pale unapokua na chumba chako wewe mwenyewe broooo mziki lazima uuusome mimi nakumbuka kipindi npo O-level & advance hiii kitu ilinitesa sana mkuu but now nishajichanganya na wadau nishasahau kabisa hii kitu ila balaaaahh lake sio la kitoto

kama upo kwenye shule za boys tu io kitu n kawaida sana kikubwa n wewe kubalance mda tyu kwa mwezi ata mara 1 fresh

ila kama ww unapenda kujitenga na wanawake/unawaogopa afu upo kitaaaa hili ni Zaid ya hatari kwako
 
mkuuu kuiacha hiii kitu hua n mkiki amin nakwambia ata ukipata dem utapiga tyu kikubwa tatizo kubwa ni pale unapokua na chumba chako wewe mwenyewe broooo mziki lazima uuusome mimi nakumbuka kipindi npo O-level & advance hiii kitu ilinitesa sana mkuu but now nishajichanganya na wadau nishasahau kabisa hii kitu ila balaaaahh lake sio la kitoto

kama upo kwenye shule za boys tu io kitu n kawaida sana kikubwa n wewe kubalance mda tyu kwa mwizi ata mara 1 fresh

ila kama ww unapenda kujitenga na wanawake/unawaogopa afu upo kitaaaa hili ni Zaid ya hatari kwako
[emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwe unatembea na plipli wakati wote, hata ukilala unakuwa nayo ukijisikia hamu ya nyeto unapaka pilipli mikononi, mweenyewe utajikuta unaacha. Tena tafuta zile plipli kichaa ndo nzuri.
 
Tambua uwepo wa Mungu wako na jiepushe na kutenda yasiyo faa,nyeto ni dhambi kubwa kwani unaidhulum nafisi yako kwa kuzini katika mwili wako mwenyewe.

Jiapize kuacha na umuahidi Mungu kuwa hautatazama tena picha za uchi na kupiga punyeto,
Piga magoti mulilie Mungu akusamehe kwa kuutesa mwili wako na kuutendea maovu na kuvunja amri zake.

Jiepushe na matamanio ya mwili na tamaa ya macho,wanawake wapo na wameumbwa kwa ajiri yako.

Angalizo,unapopiga punyeto na kuangalia picha za uchi unapata laana ,na hii hali inaweza kuwapata hata wanao,ukazaa watoto machangudoa na mashoga,ni laana anayoweza kupata mtu anaejihusisha na udhalimu wa namna hii.
Jua ni Mungu pekee anaeweza kukusaidia hasa ukimuomba kwa moyo wa kweli na yeye atakusikia na kukuepusha na balaa hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom