Naomba anayejua tiba ya kutibu madhara ya punyeto

Naomba anayejua tiba ya kutibu madhara ya punyeto

CHAMA CHA WAPIGA PUNYETO TANZANIA(CHAWAPUTA)

Tutakuwa na mkutano siku ya jpili kwaajiri ya kutafuta ufumbuzi ya changamoto zilizopo kwenye chama chetu kama vile upungufu wa nguvu za kiume,kuwa na vibamia n.k usiache kufika kutakua na zawadi za sabuni za bure na mafuta ya mgando
 
ninavyoelewa hakuna kitu chochote kile duniani ambacho kina ubaya tu bila kuwa na uzuri wake. Fikiria utakubali ninachokisema.
Ni kweli nyeto ina madhara makubwa, lakini pengine ungeenda front tayari ungeisha ukwaa ukimwi. All in all ni ya kuacha kama utaweza.
 
Back
Top Bottom