chagga dady
Member
- Mar 20, 2019
- 31
- 23
Ndugu zangu naomba msaada wenu kutokana na nilichoandika maan nimeathirika mpka hamu na tendo LA ndoa sina ..uume umesinyaa ..sana.Msaada wenu ndugu zangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Oky ndugu nimeachaMkuu acha kwanza punyeto..acha kabisa..hiyo ndo tiba ya kwanza,,..
Katika hiki chama kuacha si rahisi, utapumzika tu.Oky ndugu nimeacha
Sent using Jamii Forums mobile app
acha mzee hiyo ndiyo tiba kama miezi mitatu hivi utaniambiaNdugu zangu naomba msaada wenu kutokana na nilichoandika maan nimeathirika mpka hamu na tendo LA ndoa sina ..uume umesinyaa ..sana.Msaada wenu ndugu zangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana kijana, umeamua kufunga ndoa na mkono wako sababu umeuamini hauwezi kuchepuka na kumuacha mme wake.
Ushauli wangu kwako ni kama ifuatavyo
1.Acha kuwa domo zege kwa wadada na jiepushe kutazama viashilia vya kukufikisha nyegezi.
2.Tafuta kitu kitachokufanya uwe busy mda wote ukipatwa na ilo wazo potofu.
3.Ukishindwa kabisa nenda kanunue malaya ila utumie ndom, hao watakupa uzoefu wa wewe kutafuta mtu wa kudum nae.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji120][emoji120]acha mzee hiyo ndiyo tiba kama miezi mitatu hivi utaniambia
[emoji120][emoji120]Muda wa kuacha ukifika utaacha tu ila msaada wa haraka tafuta demu permanent hata km siyo mzuri kwa sura lakini awe free kukupa papuchi at any time hivyo ukisikia hamu ya nyeto unaenda kujipozea kwake.
Joto la K lina umuhimu wake kwenye kukojoa
Ndugu zangu naomba msaada wenu kutokana na nilichoandika maan nimeathirika mpka hamu na tendo LA ndoa sina ..uume umesinyaa ..sana.Msaada wenu ndugu zangu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji120][emoji120]mkuuu kuiacha hiii kitu hua n mkiki amin nakwambia ata ukipata dem utapiga tyu kikubwa tatizo kubwa ni pale unapokua na chumba chako wewe mwenyewe broooo mziki lazima uuusome mimi nakumbuka kipindi npo O-level & advance hiii kitu ilinitesa sana mkuu but now nishajichanganya na wadau nishasahau kabisa hii kitu ila balaaaahh lake sio la kitoto
kama upo kwenye shule za boys tu io kitu n kawaida sana kikubwa n wewe kubalance mda tyu kwa mwizi ata mara 1 fresh
ila kama ww unapenda kujitenga na wanawake/unawaogopa afu upo kitaaaa hili ni Zaid ya hatari kwako