N ngawia JF-Expert Member Joined Feb 11, 2014 Posts 849 Reaction score 876 Sep 11, 2026 #1 Naomba kujuzwa Dr mzuri wa Koo pua na masikio Kuna kijana wangu anatakiwa kufanyiwa opereresheni ya nyama za pua hapa dar. Natanguliza shukrani
Naomba kujuzwa Dr mzuri wa Koo pua na masikio Kuna kijana wangu anatakiwa kufanyiwa opereresheni ya nyama za pua hapa dar. Natanguliza shukrani
mkupuo JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 2,017 Reaction score 2,642 Sep 11, 2026 #2 Mkuu mpeleke kijana pale Muhimbili- Mloganzila Kuna madaktari bingwa bobezi wa Hilo eneo, utanishukuru baada ya huduma.
Mkuu mpeleke kijana pale Muhimbili- Mloganzila Kuna madaktari bingwa bobezi wa Hilo eneo, utanishukuru baada ya huduma.
N NgerukeAbra JF-Expert Member Joined Sep 5, 2022 Posts 4,253 Reaction score 5,789 Sep 11, 2026 #3 ngawia said: Naomba kujuzwa Dr mzuri wa Koo pua na masikio Kuna kijana wangu anatakiwa kufanyiwa opereresheni ya nyama za pua hapa dar. Natanguliza shukrani Click to expand... Mimi binti yangu alifanyiwa upasuaji wa kuondoa nyama za puani muhimbili miaka kumi iliyopita. Nenda muhimbili
ngawia said: Naomba kujuzwa Dr mzuri wa Koo pua na masikio Kuna kijana wangu anatakiwa kufanyiwa opereresheni ya nyama za pua hapa dar. Natanguliza shukrani Click to expand... Mimi binti yangu alifanyiwa upasuaji wa kuondoa nyama za puani muhimbili miaka kumi iliyopita. Nenda muhimbili
balibabambonahi JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 16,841 Reaction score 15,673 Sep 11, 2026 #4 NgerukeAbra said: Mimi binti yangu alifanyiwa upasuaji wa kuondoa nyama za puani muhimbili miaka kumi iliyopita. Nenda muhimbili Click to expand... Nenda TMJ pale jirani na Aghakan shuleni
NgerukeAbra said: Mimi binti yangu alifanyiwa upasuaji wa kuondoa nyama za puani muhimbili miaka kumi iliyopita. Nenda muhimbili Click to expand... Nenda TMJ pale jirani na Aghakan shuleni