Naomba app nzuri ya kupakua movies tafadhali jina lake

Tumia torrent uTorrent(ipo playstore na pc tumia qbittorrent)website zake NI torrentgalaxy.to na yts
.mx 1337x.to hapo uwezi kosa muvi ze ye high quality hakikisha tu una adblocker (ublock) so tumia Firefox afu add to extension ya ublock
Tumia hiyo👆 Torrent Uttorent ni the best kwenye kushusha movies..daah..unanikumbusha mbali sana enzi za chuo nilikua nashusha movies si mchezo kwa laptop au hata Simu kama ina nafasi kubwa.
 
unaingizaje
Ingia kwenye list ya download zako. Nenda kwenye movie unayotaka kuhamishia kwenye internal storage, gusa vidoti vitatu vilivyopo kulia kwenye hiyo movie. Angalia hapa
Ukibonyeza hapo zitakuja option hizi nne. We chagua "Transfer file"
Ukibonyeza transfer file inakuleta hapa. Tap hapo walipoandika "My Albums"
Halafu tap hapo chini walipoandika "Transfer"
Baada ya hapo movie itaanza kutransfer kwenda kwenye storage. Hii process haichukui hata sekunde 3
Ukifanya hivyo tu umeshamaliza kazi
 
Mwamba unatishaaaa[emoji109][emoji109][emoji109]
 
Goojara.com. ndio funga kazi
Unamaanisha streaming, kama ni streaming bora atumie hii app ya Onstream
Hii haipo PlayStore ila.Hii ni apk kama unataka kuidownload link yake hii hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…