Ingia kwenye list ya download zako. Nenda kwenye movie unayotaka kuhamishia kwenye internal storage, gusa vidoti vitatu vilivyopo kulia kwenye hiyo movie. Angalia hapa
View attachment 2862169
Ukibonyeza hapo zitakuja option hizi nne. We chagua "Transfer file"
View attachment 2862170
Ukibonyeza transfer file inakuleta hapa. Tap hapo walipoandika "My Albums"
Halafu tap hapo chini walipoandika "Transfer"
View attachment 2862171
Baada ya hapo movie itaanza kutransfer kwenda kwenye storage. Hii process haichukui hata sekunde 3
View attachment 2862172
Ukifanya hivyo tu umeshamaliza kazi