Naomba app nzuri ya kupakua movies tafadhali jina lake

Tumia websites achana na mambo ya Apps.
Websites ni hizi
Goojara.to
1337x.to
fzmovies.net
nkiri.com
dramakey.com
Mimi natumia fzmovies.net

Naona iko vizuri sana nitajaribu na hizo nyengine nione ubora wake
 
Mzee baba Sasa hivi naona kama wameondoa hivi .... Sioni option ya kutransfer files
 
Unahitaji apps mbili tu kudownload movie karibia zote kutokea torrents

1. STREMIO
2. 1DM+

Hiyo combination ya hizo apps hapo juu inatumika kwa pamoja ( lazima uwe nazo zote mbili huwa zinategemeana)

The rest is mserereko....
 
Wakuu natumia TV inaonyesha 1080 ila nikipakuwa movie kwenye yts.mx ya 1080 haionyeshi ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…